Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

thatswhy mtabaki LDC MILELE NA AIRPORTS KAMA HII
upload_2017-12-20_12-14-5.png


upload_2017-12-20_12-15-26.png
 
oops sorry bro
Mombasa, our second city...ask the tanzanians to bring their second city😀😀😀
jmv0QeT.jpg
Q4UmViR.jpg
YiU91td.jpg
lLwiSti.jpg
0r7g7fY.jpg
C4YM-RCXUAAJ2z7.jpg:large
8QwR8Tn.png
klUAASb.png
35095183465_8e8aaed8a8_b.jpg
34931165532_3b319c70de_b.jpg
vdpGL.jpg
m5eO.jpg
XW3PG3p.jpg
wDkaAgn.jpg
XBrGKPJ.jpg
29690982362_d75f158193_b.jpg
29511251660_5ba9385c3c_b.jpg
Kweli hakuna mji unaupita mombasa apa Tz zaid ya Dar
Lkn ukwel ni kuwa huwez kulinganisha mwanza na kisumu, kisumu ndogo
Huo utakuwa ujinga
Bora ata edy japo ni kadogo mno
 
China and Russia our role models. Ndio maana nchi yetu ni Socialist country. Human development ndio priority no.1
Nyie sifa za kijinga ndio no. 1
wewe hujielewi kabisa ....iyo `exposure' yako yenye wapenda kuitaja kila wakati haijakusaidia na lolote .....the irony is that your talking about human development being your first priority yet you have MAO as your avatar
 
Tukiita kenya ni mbuzi unalia.

Unajua rushia iko na vikwazo muda gani sasa,yaani wewe mkenya unaweza jihisi ni bora kabisa mbele ya mrusi!!!!!labda kwa kukula githeri umesimama.
Mi nashangaa mnavyoendelea kumjaza bichwa achaneni nae huyo na hiyo maada ya urusi......

Anajikweza tu hapo
 
Mnachojua nyie wakenya ni kupiga picha
Maana naona same buildings mbili in all the pictures za kisumu
Uku upande huu huku upande mwingine
Uku jengo halijakamilika huku limekamilika
Pigen arial view ya city, that w'll du
Ni kweli kwenye madoido ya photo wametisha kama haujawahi tembelea mji wao wowote utasema dah aisee mbona ni kuzuri balaa linakuja hapo kwenye kutembelea..ni vituko tupu

Ila kiukweli tz hatujaizingatia photograph kwa kuipiga picha miji yetu ....kwa kiwango
 
Kweli hakuna mji unaupita mombasa apa Tz zaid ya Dar
Lkn ukwel ni kuwa huwez kulinganisha mwanza na kisumu
Huo utakuwa ujinga
Bora ata edy japo ni kadogo mno

Waambie wenzako wasikie vizuri na wasije hapa kutupigia kelele ya church tena
 
Back
Top Bottom