Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Ndugu hivi unajua unachosema kweli? Do you know what a bullet train is? Yani unaconfuse sgr na bullet train? Hata kule ulays ni nchi chache sana ambazo ziko na bullet trainNitafurahi sana kama next year utakuwepo kwenye ifunguzi rasmi wa bullet train Africa, kati ya Dar-Moro, hii ni fahari kwa Africa nzima, sio kwa Kenya na Tanzania pekee![]()
![]()
