AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,283
- 3,200
Hivi kunyaland haiwezi kusimama peke yake bila kuitaja Tanzania na kijinasibisha kwenye mambo ya Tanzania!? Media za kunyaland ni content na habari za Tanzania tu.. asubuhi Hadi asubuhi... January mpaka January...
Bado bloggers na hungered activists wote wa kunyaland ni kubeba mambo ya Tanzania tu... Post kila muda hata muda wa kujisafisha matongotongo hawana...
Na hapa huyu githenjii analeta picha ya lake Natron from Ngorongoro Arusha na kusema ni lake ambayo ipo kunyaland! Kunyaland without Tanzania is finished.