Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I can bring you a million videos of Kenyans from different tribes praying together. Does that prove ukabila haupo?
Wacha ubishi we jamaa. Tz hakuna udini wala ukabila. Awamu hii wanasiasa wanasambaza propaganda za kidini ili kutimiza matakwa yao ya kisiasa lakini pia raia wameshtuka na wamewakataa.
Tanzania hakuna udini wala ukabila period.
 
Wenye wameuawa kwenu juu ya udini in 4 days ni wengi kuliko waliouwawa Kenya juu ya ukabila since independence.
Usichokijua hizo ni political games zinachezwa.
Kwenye hiyo CCM Vice president mkristo,prime minister mkristo,mkuu wa jeshi la polisi mkristo,kamanda mkuu wa majeshi mkristo. Aya udini unatoka wapi!? Hao wakristo wanaotajwa ni wakatoliki peke yake. Inamaana wakatoliki wanabeba ukristo mzima? Na wanabishana na baraza la Bakwata tu. Inamaana Bakwata inabeba waislam wote!? Usikaze fuvu kijana waliohusika oktoba 29 ni chama cha CCM waislam kwa wakristo. Hakuna udini Tanzania.
 
Wacha ubishi we jamaa. Tz hakuna udini wala ukabila. Awamu hii wanasiasa wanasambaza propaganda za kidini ili kutimiza matakwa yao ya kisiasa lakini pia raia wameshtuka na wamewakataa.
Tanzania hakuna udini wala ukabila period.
Where have you been? We thought you had been killed by those religious extremists that killed 26000 people in your country. Welcome back Kosugi.
 
Where have you been? We thought you had been killed by those religious extremists that killed 26000 people in your country. Welcome back Kosugi.
Am still around but I was ashamed with what happened in my own country which is believed to be the most peaceful country in the region.
But those who did this are CCM gang regardless of their religious beliefs.
Emmanuel Nchimbi is Christian,Mwigulu Nchemba is also Christian but all of them were involved in that saga.
 
haha typical, watanzania wote hujiona na huamini kwamba wao ni tofauti sana na special, sijui ni nani aliwadanganya, mauaji yaliyotokea yalipaswa kuwaonyesha kwama hatuna uspecial wowote ule ...
Hakuna uspecial wowote uliozungumziwa.
Bali hapa unazungumziwa ukweli kwamba Tanzania hakuna ukabila wala udini.
Nakusihi soma kwa uelewa sio kwa kukurupuka.
 
Am still around but I was ashamed with what happened in my own country which is believed to be the most peaceful country in the region.
But those who did this are CCM gang regardless of their religious beliefs.
Emmanuel Nchimbi is Christian,Mwigulu Nchemba is also Christian but all of them were involved in that saga.
I'm glad you're okay.
Ila mpunguze udini nyinyi watu.


View: https://youtu.be/38BwAOSvWvo?si=Au6bgZiWoG3EtPnH
 
Namalizia kukueleza mara ya mwisho.
Hao watu wamelipwa kuleta michezo ya kisiasa sisi wenyewe raia tumeshawakataa.
BIla shaka naongea na mtu mzima hivyo wacha nikuache.
Are you among the idiots who blame Kenya for your machafuko?
 
Why should I blame Kenya while CCM is the root cause of the problem!?
Is CCM in Kenya!?
Only a stupid person would do that.
Nafikiri NairobiWalker anakunwa na kujisikia raha akisikia mtanzania ana blame wakenya, kuwa ndiyo waliosababisha vurugu Tanzania ili apate ammunitions za kutubeza na kutucheka.

Tulishamwambia toka mwanzo, hizo blame ni spinning tuu, kama cover up ya CCM.
 
Is this gonna be at Talanta ?.. I read somewhere it will be ready by February
Not confirmed but most likely bruv this is HSBC Svns, CS sports had hinted a big event to open the stadium and I bet this is it.
I mean, its a Football/Rugby Stadium
IMG_5507.jpeg
 
Back
Top Bottom