Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,297
- 3,648
soma hayo maneno kwenye hio screenshot. the Ksh. 900 was a rumour. When Uhuru launched it, he said tickects should not exceed Ksh. 700 for Economy Class
soma hayo maneno kwenye hio screenshot. the Ksh. 900 was a rumour. When Uhuru launched it, he said tickects should not exceed Ksh. 700 for Economy Class
Kwa taarifa yako ile ya Morocco itafanya 320km/hrMuhimu ni kwamba, Tanzania imewasogezea waafrica bullet trains, hamna sababu kwa waafrica kupoteza pesa nyingi kwenda Europe na Asia tena, karibuni sana Japan within Africa![]()
![]()
![]()
starting speed ya tanzania ni 160 km/hr ila itaenda mpaka zaidi ya 260 km/hr kwa taarifa nilizozipata😀😀Kwa taarifa yako ile ya Morocco itafanya 320km/hr
starting speed ya tanzania ni 160 km/hr ila itaenda mpaka zaidi ya 260 km/hr kwa taarifa nilizozipata😀😀
stay cool ndugu usiugue kabisa😛😛😛
najua ata we mwenyewe huamini ulichokiandikaso first class ni 3000 ksh rytsoma hayo maneno kwenye hio screenshot. the Ksh. 900 was a rumour. When Uhuru launched it, he said tickects should not exceed Ksh. 700 for Economy Class
usiumie kichwa kabisa bro😀😀😀😀 tunafanya vitu kwa akili nyingi sana ila mjifunze kupitia tanzania msijerudia kosa mliolifanya![]()
![]()
najua ata we mwenyewe huamini ulichokiandika
Yuppso first class ni 3000 ksh ryt
Ndege zipo zenye speed tofauti, kuanzia 500km/hr hadi 2000km/hr, zote hizo ni ndege tu, bullet train hazijawekewa minumum speed, kinachofanya ziitwe bullet, ni aina ya train na shape, ambazo kawaida zinakimbia sana, lakini zinaweza kukimbia speed yoyote ileKwa taarifa yako ile ya Morocco itafanya 320km/hr
Usiwe mtu wa kupenda ubishi kila time
Actually hii ya Tanzania ikifika Rwanda, itakuwa na uwezo wa kukimbia 420km/hrKwa taarifa yako ile ya Morocco itafanya 320km/hr

Hahaa okay tungojeActually hii ya Tanzania ikifika Rwanda, itakuwa na uwezo wa kukimbia 420km/hr![]()
![]()
Nitafurahi sana kama next year utakuwepo kwenye ifunguzi rasmi wa bullet train Africa, kati ya Dar-Moro, hii ni fahari kwa Africa nzima, sio kwa Kenya na Tanzania pekeeHahaa okay tungoje

mm sikubisha nimeuliza 😀😀😀😀😀Usiwe mtu wa kupenda ubishi kila time![]()
And your stone age thing is snailing at 80 km/r.Watu wanaita train ya 160km/hr bullet train![]()
....alafu waone hapa juu vile wanajiona wajuaji.bongolala ni kama ugonjwa acha niende zangu kimya
![]()
![]()
Aiseee.... hili nalo neno.More to come.![]()
Nimeona picha ya Iringa hapo juu ndo maana nimekuambia haifikii Kisii kwa ujenzi na ukubwa. Mbona nimekubali kwamba iko na barabara pana kushinda kisii? Hiyo Iringa ni ndogo sana, pengine tuipatie Kakamegahebu jaribu uone we iringa unaijua vzr wewe😀😀
Itaendelea kushuka,by 2022,itafikia $120 bln.Aiseee.... hili nalo neno.