NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,009
- 19,181
daily dozi 😂
They are so broke mpaka viproject vidogo kama hivi vinawapa shida kufinance.
daily dozi 😂
They are so broke mpaka viproject vidogo kama hivi vinawapa shida kufinance.
Ingawa sijawahi kuuafiki uongozi wa huyu mama na kundi lake pamoja na mengine mengi, lakini huu ni ukweli.
View attachment 3505582
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1991833042873458706
That won't happen in TanzaniaThey will start killing each other based on religion. It's better to have tribalism than religious wars. Religion is the worst cultism ever, their radicalisation is also among the worst and dangerous in history.
Look at all the terrorists, they all follow a specific religious teachings to justify their killings and terror.
NEVERWatakua kama Nigeria wasipochunga.
Sure, Kenyans wanadhani sisi tumetengana kama wao. Huku Muslims na Christians wanaishi kwa pamoja, kwa amani na upendo. Mimi mwenyewe mzazi wangu mmoja Mkristo mwingine ni muislamuNasty paid propaganda by this regime, the good news is most Tanzanian understand what's going on. We're more united than ever, both Muslims and Christians in Tz are one family, genetically and ideologically.
Politicians are very shameless. Sasa wanatumia these religious leaders to beat drums of war. Mambo itachemka if these people spewing religious divison are not stopped.
View: https://x.com/KenyanSays/status/1991475773925126568?s=20
Ingawa sijawahi kuuafiki uongozi wa huyu mama na kundi lake pamoja na mengine mengi, lakini huu ni ukweli.
View attachment 3505582
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1991833042873458706
Wewe ni mpuuzi kwani hujui kuwa kina mamluki ambao huwa walipwa ili kupost upuuzi mitandaoni?Asilimia kubwa ya watanzania hawana akili au ni vichaa, vitu wanavyovisema havina any sense
Bro, neno udini in Kenya is a vocabulary nobody knows. Ni wewe Unadhani tumetengana kama nyinyi.Sure, Kenyans wanadhani sisi tumetengana kama wao. Huku Muslims na Christians wanaishi kwa pamoja, kwa amani na upendo. Mimi mwenyewe mzazi wangu mmoja Mkristo mwingine ni muislamu
Mimi ni Mkristo na nimekua raised kwenye mkoa ambao upo dominated na waislamu, kamwe hawajawahi kunitenga, nina marafiki wengi waislamu na hakuna chuki yoyote ya kipuuzi. Ukienda Mbeya Region ambako kupo dominated na Christians, unakuta waislamu wanaishi kwa amani kabisa, wanavaa kanzu, wanasali suala tano na hakuna anayejali. Moja ya vitu bora sana Tanzania ni kwamba hakuna ubaguzi wa kipuuzi, hakuna ukabila wala udini
Sasa nyie Wakundustan ndio wa kujipambanua kutusaidia sisi?Hii nimeisoma mahali
Na Gaza nao inabidi wajiulize kwanini Dunia inawapambania sana?
Congo wajiulize kwanini Tanzania inapeleka mpaka Majeshi? Inawapenda sana?
Tanzania ilivyokuwa inasaidia nchi za SADC walijiuliza kama “ kwanini tunawapenda sana?”
Unayepaswa kujitafakari hapa ni wewe Mkuu.
Sasa mbona watu magaidi walipiga garrisa na wastegate?Bro, neno udini in Kenya is a vocabulary nobody knows. No wewe Unadhani tumetengana kama nyinyi.
Wanaosema hayo ni serikali yenu. wapelekee hizo frustrations zako.Sasa nyie Wakundustan ndio wa kujipambanua kutusaidia sisi?
Haikuwa vita ya kidini hiyo. Ilikuwa political kisa wanajeshi wa Kenya kupelekwa Somalia na propaganda. Kuna tofauti kubwa between that na udiniSasa mbona watu magaidi walipiga garrisa na wastegate?
kwani garisa si walikuwa wanauliza dini gani kama mkristo wanauwa sasa ulitaka kitokee nini ndo useme ni sio udini?Haikuwa vita ya kidini hiyo. Ilikuwa political kisa wanajeshi wa Kenya kupelekwa Somalia na propaganda. Kuna tofauti kubwa between that na udini