Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,745
Sio kweli, kizazi cha 1980s ndio kimetufikisha hapa. Sio wazalendo kabisaKizazi cha waliokulia miaka ya 80 ni bora kielimu, kuliko hiki cha GenZ. kiwango cha ufaulu kilikuwa cha juu sana, wakati kuwango cha ufaulu kwa GenZ kimeahushwa sana.
That's good to hear, hata Tanzania hakuna udini piaBro, neno udini in Kenya is a vocabulary nobody knows. Ni wewe Unadhani tumetengana kama nyinyi.
Ugaidi na udini wapi na wapi?Wanapakitaka southern somalia na nothern kenya na pwani kwani abdi logo aliyekuwa akihubiri ugaidi alikuwa raia wa nchi gani?
Huwezi sema hamna ukabili. Upo ila sii kwa kiasi cha Kenya ama Uganda.That's good to hear, hata Tanzania hakuna udini pia
Tena sisi tumeenda mbali, hatuna hata ukabila
kwa east Africa unaweza tofautisha ugaidi na dini ya kiislamUgaidi na udini wapi na wapi?
You're simply manifesting your internalized Udini hence proving my assertions right. Tanzania ni nchi ya udini.kwa east Africa unaweza tofautisha ugaidi na dini ya kiislam
View: https://www.facebook.com/dw.africa/posts/pfbid02HbovrAUVAPTSou88QwvKR29H57QbPwqdZCnZVbrn8ZRAvp8eNCmVMqAdNXwhbEtFl?__tn__=%2CO*F
MY TAKE
Ukunduni mnapita kama hamuoni vile ikumbukwe pia Zambia wana-modernize pipeline yao kutoka Dar!
Lakini jihadist wapo kenyaYou're simply manifesting your internalized Udini hence proving my assertions right. Tanzania ni nchi ya udini.
Zaidi ya 95% ya waislamu wanapinga hao mashehe, kila mtu anajua wanalipwa. Tanzania hakuna UDINI wala UKABILAHuwezi sema hamna ukabili. Upo ila sii kwa kiasi cha Kenya ama Uganda.
Udini pia mnao (In fact, Tanzania ndio namba mbili kwa udini eneo la Afrika Mashariki na Kati. Second only to Somalia). Ninavyoona mijadala inayoendelea mitandaoni ya Watanzania ni bayana udini upo Tanzania tena sana. Yani watu waandamane wauawe alafu kila watu wanachoona ni haya yamefanyika kisa Rais ni Mwislamu alafu useme hakuna udini? Wacha zako kijana.
Hapana, kizazi cha 80s (30s - 40s) ndo kimeanza kushika nyanzifa za juu hivi karibuni. Ni kizazi kilichopita ndicho kiliharibu.Sio kweli, kizazi cha 1980s ndio kimetufikisha hapa. Sio wazalendo kabisa
Mitihani migumu ≠ Elimu bora
Huu upuuuzi wa dini unafadhiliwa na huru maza. Tanzania ukitoka mtandaoni kuongea chochote una kesi ya uchochezi. Tazama wale mashehe waliotoa press conference ya kudai kukata vichwa watu ni yupi kakamatwa ama anatafutwa na Police?Huwezi sema hamna ukabili. Upo ila sii kwa kiasi cha Kenya ama Uganda.
Udini pia mnao (In fact, Tanzania ndio namba mbili kwa udini eneo la Afrika Mashariki na Kati. Second only to Somalia). Ninavyoona mijadala inayoendelea mitandaoni ya Watanzania ni bayana udini upo Tanzania tena sana. Yani watu waandamane wauawe alafu kila watu wanachoona ni haya yamefanyika kisa Rais ni Mwislamu alafu useme hakuna udini? Wacha zako kijana.
You fools are so petty!😂😂😂na Wa TZ hapa JF nasi pia tuchamgamke. Tukianza na Anus strar, uko wapi!? Ka kimbia tena!? Pia kaogopa CNN, propaganda zako zilishaungua tayari, badilisha profile pic baba. Lets appreciate the man he did an amazing job👏👏 View attachment 3505766