Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

They will start killing each other based on religion. It's better to have tribalism than religious wars. Religion is the worst cultism ever, their radicalisation is also among the worst and dangerous in history.

Look at all the terrorists, they all follow a specific religious teachings to justify their killings and terror.
That won't happen in Tanzania
 
Nasty paid propaganda by this regime, the good news is most Tanzanian understand what's going on. We're more united than ever, both Muslims and Christians in Tz are one family, genetically and ideologically.
Sure, Kenyans wanadhani sisi tumetengana kama wao. Huku Muslims na Christians wanaishi kwa pamoja, kwa amani na upendo. Mimi mwenyewe mzazi wangu mmoja Mkristo mwingine ni muislamu
Mimi ni Mkristo na nimekua raised kwenye mkoa ambao upo dominated na waislamu, kamwe hawajawahi kunitenga, nina marafiki wengi waislamu na hakuna chuki yoyote ya kipuuzi. Ukienda Mbeya Region ambako kupo dominated na Christians, unakuta waislamu wanaishi kwa amani kabisa, wanavaa kanzu, wanasali suala tano na hakuna anayejali. Moja ya vitu bora sana Tanzania ni kwamba hakuna ubaguzi wa kipuuzi, hakuna ukabila wala udini
 
Politicians are very shameless. Sasa wanatumia these religious leaders to beat drums of war. Mambo itachemka if these people spewing religious divison are not stopped.

View: https://x.com/KenyanSays/status/1991475773925126568?s=20

Ndugu hakuna kitakachochemka, 66% ya Tanzanians ni youths, ni Gen Z. Wengi wameelimika na wana uelewa. Huwezi kuwagawa kirahisi hivyo. Unaweza kuwagawa hawa wazee maana wengi wao wana uelewa mdogo kutokana na elimu duni waliyoipata miaka ya 1980s
 
1000211609.jpg
 
Sure, Kenyans wanadhani sisi tumetengana kama wao. Huku Muslims na Christians wanaishi kwa pamoja, kwa amani na upendo. Mimi mwenyewe mzazi wangu mmoja Mkristo mwingine ni muislamu
Mimi ni Mkristo na nimekua raised kwenye mkoa ambao upo dominated na waislamu, kamwe hawajawahi kunitenga, nina marafiki wengi waislamu na hakuna chuki yoyote ya kipuuzi. Ukienda Mbeya Region ambako kupo dominated na Christians, unakuta waislamu wanaishi kwa amani kabisa, wanavaa kanzu, wanasali suala tano na hakuna anayejali. Moja ya vitu bora sana Tanzania ni kwamba hakuna ubaguzi wa kipuuzi, hakuna ukabila wala udini
Bro, neno udini in Kenya is a vocabulary nobody knows. Ni wewe Unadhani tumetengana kama nyinyi.
 
Hii nimeisoma mahali

Na Gaza nao inabidi wajiulize kwanini Dunia inawapambania sana?

Congo wajiulize kwanini Tanzania inapeleka mpaka Majeshi? Inawapenda sana?

Tanzania ilivyokuwa inasaidia nchi za SADC walijiuliza kama “ kwanini tunawapenda sana?”

Unayepaswa kujitafakari hapa ni wewe Mkuu.
Sasa nyie Wakundustan ndio wa kujipambanua kutusaidia sisi?
 
😂😂😂na Wa TZ hapa JF nasi pia tuchamgamke. Tukianza na Anus strar, uko wapi!? Ka kimbia tena!? Pia kaogopa CNN, propaganda zako zilishaungua tayari, badilisha profile pic baba. Lets appreciate the man he did an amazing job👏👏
Screenshot_20251122_072334_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom