NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,388
- 17,969
Akikujibu nitag.So, what action has your government taken to the "Kenyans" who killed 3,000 demonstrating "Kenyans" in Tanzania?
Akikujibu nitag.So, what action has your government taken to the "Kenyans" who killed 3,000 demonstrating "Kenyans" in Tanzania?
Mimi niko well rounded, "the art of war" nakifahamu fika, hata ukisearch hapa JF utaona niliwahi kuelezea kitu kuhusu falsafa za Sun Tzu.Hakuna sehemu nimewahi kumsifia JK and I will never. Magufuli alikuwa kipenzi cha wengi ikiwemo mimi. But life goes on, tunaachilia na kusonga mbele.
Masuala ya udini naomba tusiyaingize hapa yanaleta hisia kali na kuchochea visasi.
Mimi ni yuleyule sijawahi kubadilika but, nilisoma kitabu kimoja na kukielewa vizuri "The Art of War", nakuomba ukitafute.
Kuna watu waliokuwa upande wetu walitusaliti na wakashindwa kuwajibika wakaendekeza tamaa zao na madaraka. Ujinga na lack of exposure ikawafanya wakashindwa kumlinda jiwe.
So unataka mimi nifanye nini katika situation hiyo. Kuna watu kabisa walikuwa na wajibu wa kulinda maslah mapana ya Taifa letu lakini wakaendekeza utoto.
Mambo haya hayaitaji emotion bali intelligence. People like Polepole walikuwa na nafasi kubwa sana ya ku solve vitu kwa akili. But waliendekeza ubnafsi, u Mungu mtu bila kuwa na plan zinazoeleweka.
Kuna siku moja nilihudhuria kikao kimoja Mwenyekiti wa Kikao alikuwa Polepole, alikuwa anaongea yeye tu haruhusu watu waongee. Mpaka kikao kinaisha hakuna cha maana tulijadili baadae watu wanachukua posho na kuondoka.
Hakuna aliye mwema, Iwe kikwete, Polepole, Gwajima, Tundu Lisu, Mnyika, Mbowe au Slaa wote hao wanapambania maslah yao.
Mimi angalau kidogo ninaweza kuwa upande wa Samia baada ya Magufuli. She is trying, Nchi aliichukua katika mazingira magumu sana. Makundi ya akina Makamba, Lowasa, Rostam, JK na kundi jipya la Sukuma gang yalianza kupambana na kumuweka yeye mtu kati ili achague upande.
Aliyaweka makundi yote kwenye baraza la mawaziri, baadae akaanza kuchomoa mmoja mmoja na mwisho kabisa asilimia kubwa ya baraza lake la mawaziri lilikuwa na watu wa JPM.
Sasa hata hili kaka hulioni. Mimi nikachagua kuwa upande wa Samia badala ya JK na kundi lake.
Explain hiyo scenario, kujenga reli ya 5km kwa miaka 4, inaingia akilini?ukikaaga ukiwa unawaza hua unahisi kuna sehem serikali inachuma pesa nn
hujuagi kama kila kipande anapewa mkandarasi tafauti? au ulidhan ndo huyo huyo anapeleka kigoma?Explain hiyo scenario, kujenga reli ya 5km kwa miaka 4, inaingia akilini?
as i said, face what you started, have u seen anywhere the gov has said kenya should pay for the damage created?So, what action has your government taken to the "Kenyans" who killed 3,000 demonstrating "Kenyans" in Tanzania?
Hawezijibu hiyo.Akikujibu nitag.
Andika sentensi yote wewe kilaza.You must be super foolish to forget something you wrote less than an hour ago. This is you agreeing with the allegations, you even went ahead and said that there are outsiders (Kenyans) tampering your SGR.
So your government is okay with Kenyans coming into Tanzania and starting killing people?as i said, face what you started, have u seen anywhere the gov has said kenya should pay for the damage created?
Have a ground to stand on Mr Chamoto, fence sitting is the worst form hypocrisy and you are doing it here perfectly. Nobody will ever take you seriously when you continue to be a fence seater, choose a battle and side to fight on.Andika sentensi yote wewe kilaza.
we have accepted that we mis interpreted and thought people were there for demonstrations meanwhile it was an economic sabotage war, i have seen somewhere mombasa port reported now surpasing dar once again in cargo volumeSo your government is okay with Kenyans coming into Tanzania and starting killing people?
And if I may ask, what are we facing? And what did we start?
Yaani bila aibu una justify kujenga reli ya 5km kwa miaka 4, kweli? Huoni hata aibu? Naona umetumwa hapa kutetea ujinga.hujuagi kama kila kipande anapewa mkandarasi tafauti? au ulidhan ndo huyo huyo anapeleka kigoma?
ni huelewi ama kichwa chako kigumu?Yaani bila aibu una justify kujenga reli ya 5km kwa miaka 4, kweli? Huoni hata aibu? Naona umetumwa hapa kutetea ujinga.
Wewe hujielewi, how do demonstration and Mombasa Port relate? And when did Dar Port ever handled more Cargo than Mombasa Port?we have accepted that we mis interpreted and thought people were there for demonstrations meanwhile it was an economic sabotage war, i have seen somewhere mombasa port reported now surpasing dar once again in cargo volume
i know what am saying, and most people saw it very earlyWewe huelewi, how do demonstration and Mombasa Port relate? And when did Dar Port ever handled more Cargo than Mombasa Port?
It seems you just talk without knowing what's going on around you.
Back to my question, what are facing that you keep on singing here? And what did we start?
Wewe ndo huelewi au unaleta uchawa.ni huelewi ama kichwa chako kigumu?
ebu rudia kusoma uelewe kwanza alafu urudi tenaWewe ndo huelewi au unaleta uchawa.
Haijalishi nani anajenga reli, kutumia miaka 4 kujenga kipande cha 5km ni incompetence ya hali ya juu.
Whatever you know just say it here, why is it so hard to lay it bare for everyone to see and understand.i know what am saying, and most people saw it very early
Naona umeamua kujitia uchizi.ebu rudia kusoma uelewe kwanza alafu urudi tena
ndioNaona umeamua kujitia uchizi.
great lets start here: why are you so concerned about tz while itsnot your nationWhatever you know just say it here, why is it so hard to lay it bare for everyone to see and understand.