Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Some dudes here mnajiaibisha sana, blaming foreigners na wakenya si ufala huu.

Hamjipatii point bali mnasema kua tuna vyombo vya ulinzi dhaifu. Na kuaibisha jeshi letu.

Imagine watanzania wanazikwa jitu limekomaa ni wakenya, kwa hiyo hadi Niffer ni mkenya?

Uhaini umekua kama maji huku.

Kadiri siku ziendavyo liinchi linaendelea kua worse sioni future kabisa maana imani hamna na Serikali, plus mnavyokwepa elephant in room ndio kabisa
Wewe huelewi, unaendekeza emotions. Tumia akili
 
They don't want to think. It is easier to accuse a neighbor.
If it's true that it's Kenyans that were rioting, it means they have a weak intelligence and defense system and a useless government.
If it is Kenyan police and soldiers killing their people in their own country, then they were definitely hired by their own government.
Whichever way you look at it, it still points to their government being inept but they would rather shift the blame to Kenya.
All in all, it's impossible for Kenyans to cause chaos of that magnitude in Tanzania unnoticed and still maintain diplomatic relations but they don't want to think.
We have tons of vacuous Popinjays
Full of Low cognitive complexity
 
somali, rwanda, uganda now tanzania all complaining about kenyans, even ruto himself complains about keyans
Can you prove those countries are complaining about Kenya? Can you post a video here of the Rwandese, Ugandan or Somali president blaming Kenya for the misfortunes in their country?
 
Can you prove those countries are complaining about Kenya? Can you post a video here of the Rwandese, Ugandan or Somali president blaming Kenya for the misfortunes in their country?
 

Attachments

  • IMG_20251109_114758.jpg
    IMG_20251109_114758.jpg
    375.6 KB · Views: 12
Hakuna sehemu nimewahi kumsifia JK and I will never. Magufuli alikuwa kipenzi cha wengi ikiwemo mimi. But life goes on, tunaachilia na kusonga mbele.

Masuala ya udini naomba tusiyaingize hapa yanaleta hisia kali na kuchochea visasi.

Mimi ni yuleyule sijawahi kubadilika but, nilisoma kitabu kimoja na kukielewa vizuri "The Art of War", nakuomba ukitafute.

Kuna watu waliokuwa upande wetu walitusaliti na wakashindwa kuwajibika wakaendekeza tamaa zao na madaraka. Ujinga na lack of exposure ikawafanya wakashindwa kumlinda jiwe.
So unataka mimi nifanye nini katika situation hiyo. Kuna watu kabisa walikuwa na wajibu wa kulinda maslah mapana ya Taifa letu lakini wakaendekeza utoto.

Mambo haya hayaitaji emotion bali intelligence. People like Polepole walikuwa na nafasi kubwa sana ya ku solve vitu kwa akili. But waliendekeza ubnafsi, u Mungu mtu bila kuwa na plan zinazoeleweka.

Kuna siku moja nilihudhuria kikao kimoja Mwenyekiti wa Kikao alikuwa Polepole, alikuwa anaongea yeye tu haruhusu watu waongee. Mpaka kikao kinaisha hakuna cha maana tulijadili baadae watu wanachukua posho na kuondoka.

Hakuna aliye mwema, Iwe kikwete, Polepole, Gwajima, Tundu Lisu, Mnyika, Mbowe au Slaa wote hao wanapambania maslah yao.

Mimi angalau kidogo ninaweza kuwa upande wa Samia baada ya Magufuli. She is trying, Nchi aliichukua katika mazingira magumu sana. Makundi ya akina Makamba, Lowasa, Rostam, JK na kundi jipya la Sukuma gang yalianza kupambana na kumuweka yeye mtu kati ili achague upande.

Aliyaweka makundi yote kwenye baraza la mawaziri, baadae akaanza kuchomoa mmoja mmoja na mwisho kabisa asilimia kubwa ya baraza lake la mawaziri lilikuwa na watu wa JPM.

Sasa hata hili kaka hulioni. Mimi nikachagua kuwa upande wa Samia badala ya JK na kundi lake.
Magufuli alikua kipenzi chako unasema??? 😂😂😂

Labda kinafiki. Gazeti zima pumba tupu. Bila shaka viatu siku hizi vina ladha ya asali
 
Acheni kumtafuta mchawi.

Mbona SGR kwenda bandarini (5km) Samia hajaimaliza, ukiwa ni mwaka wa nne sasa? Magu kwa kipindi hicho alijenga reli ya km 300+. Tatizo ni nini?
ukikaaga ukiwa unawaza hua unahisi kuna sehem serikali inachuma pesa nn
 
Acheni kumtafuta mchawi.

Mbona SGR kwenda bandarini (5km) Samia hajaimaliza, ukiwa ni mwaka wa nne sasa? Magu kwa kipindi hicho alijenga reli ya km 300+. Tatizo ni nini?
Waulize na Mataa barabara ya Kimara kibaha hawajakamilisha section ya mwendokasi na Kuweka hata Taa
 
Re-read what wrote earlier, paying particular attention to;
You must be super foolish to forget something you wrote less than an hour ago. This is you agreeing with the allegations, you even went ahead and said that there are outsiders (Kenyans) tampering your SGR.

Ishu ya SGR kuharibika inaweza kuwa ni watu wa nje
 
see what i was saying before? i even took source from kenya but still your a problem
1. It's not a credible source. It is a headline from gossip website. You have to prove that Museveni actually said those words.
2. It doesn't prove Kenya causing Uganda's misfortune. People are arrested in foreign countries all the time. We have arrested Tanzanians working for alshabaab here in Kenya, do we blame Tanzania for all our misfortunes?
 
Back
Top Bottom