Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tena at least mkunda kaonesha ujasiri wake,nakumbuka kipindi cha nyuma walikua wanatolewa kufanya usafi,sad siku ya 3 maria akawa anaingiza tena chaka vijana waingie mtaani wakauliwe,madogo wameuliwa kikatili mno,zile bullet sio za kupigia binadamu aisee 🥲🥲

Jambo linaumiza na kusikitisha ndio. Japo binafsi sitaki kuliongelea sana. Ni jambo ambalo liliweza kuepukika vizuri tu bila shuruba hizi.
Tatizo Sasa hivi tuna anza kuongelea matokeo tu huku tukiacha kuongelea chanzo na mzizi wa haya yote. Hapa kuna upande uliamua kuchagua ugomvi kwa nguvu.. kati ya tarehe ya maandamano na tarehe ya uchaguzi kuna ambayo ilitangulia... Ilikuwa ni suala la kuachiana mafasi tu kila mmoja na jambo lake.

Tofauti na hapo ubabe mwisho wake sio mzuri hata kidogo, ni jambo la kusoma alama za nyakati tu. Na vijana walishindwa kujiongeza kidogo Waka amini propaganda kwamba watalimdwa... Wakapuuzia matamko yote na maonyo yaliyotolewa.
It's a zero sum kinda thing... Hakuna wa kumbenesha lawama hapa...yameshatokea , tuyapokee na tuyachukue kama funzo.
 
Umeona lakini jinsi kulivyotokea unnecessary deaths? Yani jinsi authorities zilivyodeal na hili suala, kwa kuua watu hadi majumbani kwao duh.
Mungu aisaidie Tanzania
Hilo suala la Authority kuua watu majumbani ni propaganda za akina Mange kimambi kuichafua Tanzania. Nimeliongelea hapo juu. Uchunguzi unaendelea vyombo vya uchunguzi kutoka ndani na nje vinaendelea ili kufahamu ni nani aliyeua watanzania wasio na hatia kwa kuwapiga risasi za kuulia tembo.

Vilevile nilieleza kuhusu ROE procedures kuwa Tanzania ipo kwenye utaratibu huo na utaratibu huo unajurikana kimataifa.
 
Videk zimepostiwa na Watanzania kwanza, sio Mange. Watanzania kibao wanalalamika ndugu zao wameuliwa wakiwa kwao. Sio kila kitu Mange tu
 
Ngoja tusubiri tuone
Hilo ndilo ninaloendelea kuwaambia watu. Mambo ya security hayafanywi kwenye social media. Maadui wanachofanya ni kutengeneza chuki ili kuleta vurugu katika nchi.

Ni bora kusubiri kuona vyombo vya kiuchunguzi vinakuja na jibu gani. Kwanza mpaka sasa hatujaambiwa ni akina nani wamekamatwa. Na inawezekana hata humo ndani ya jeshi kulikuwa labda na uasi. Let wait and see.
 
Hapo awali nili Ignore Id zaidi ya 10 za Kikenya ila Nimezi Unignore na Kuanza Kuzi Ignore za Watanzania wajinga na wapumbavu wano shabikia Ujinga uliofanyika.
Unawezaji kuwa na Akili timamu ukaendelea Kuisapoti Nchi ilio jaaa Laana na Damu kila kona!
Unapataje Nguvu kubishana na wakenya kwa Ushenzi kama huu!!
Kifo cha JPM kilikuwa pigo kubwa kwa Watanzania
 
Jambo linaumiza na kusikitisha ndio. Japo binafsi sitaki kuliongelea sana. Ni jambo ambalo liliweza kuepukika vizuri tu bila shuruba hizi.
Tatizo Sasa hivi tuna anza kuongelea matokeo tu huku tukiacha kuongelea chanzo na mzizi wa haya yote. Hapa kuna upande uliamua kuchagua ugomvi kwa nguvu.. kati ya tarehe ya maandamano na tarehe ya uchaguzi kuna ambayo ilitangulia... Ilikuwa ni suala la kuachiana mafasi tu kila mmoja na jambo lake.

Tofauti na hapo ubabe mwisho wake sio mzuri hata kidogo, ni jambo la kusoma alama za nyakati tu. Na vijana walishindwa kujiongeza kidogo Waka amini propaganda kwamba watalimdwa... Wakapuuzia matamko yote na maonyo yaliyotolewa.
It's a zero sum kinda thing... Hakuna wa kumbenesha lawama hapa...yameshatokea , tuyapokee na tuyachukue kama funzo.
Walioua na waliochochea wote wana makosa,huwezi kutumia silaha za moto kwa mtu ambae ameshika jiwe,kibaya zaidi ile tarehe 2 maria akawa anawaingiza chaka vijana wa watu wakafe, ile damu iliyomwagikq tarehe 29 na 30 aliona aitoshi aisee,eti tuendelee kukiwasha huku yy yupo nyuma ya keyboard,dah
Screenshot_20251102-181810.png
 
Hapo awali nili Ignore Id zaidi ya 10 za Kikenya ila Nimezi Unignore na Kuanza Kuzi Ignore za Watanzania wajinga na wapumbavu wano shabikia Ujinga uliofanyika.
Unawezaji kuwa na Akili timamu ukaendelea Kuisapoti Nchi ilio jaaa Laana na Damu kila kona!
Unapataje Nguvu kubishana na wakenya kwa Ushenzi kama huu!!
Kifo cha JPM kilikuwa pigo kubwa kwa Watanzania
Humu Jamii Forums kuna ID zinasikitisha. Kuna jamaa anajiita Lucha, kafurahi sana Watanzania kuuawa, kuna huyu anajiita Lucas Mwashambwa, yani huyu kila siku ni kumpamba Samia tu, everyday Mama this Mama that, thread zake zinatia kinyaa sana. Yani uchawa umepitiliza mipaka 🙌
 
Endeleeni kujifariji ila dahh ...Miili ya waandamanaji wakenya imejaa kwenya mochwari huku dar hadi zinazikwa kwa makaburi ya pamoja, wengi walikuwa wakijifanya kuwa walimuu..
So in your Bongolala fantasies , you contemplate a Kenyan mob in Dar protesting and being killed by the patriotic Bongo soldiers. Bro! What are you smoking???
 
Back
Top Bottom