Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Miradi midogo na ya kati ndio umeweka hapa.
Halafu kwa nini tumerudi uchumi wa chini, sio middle income tena 🥹
Wanaomchukia Samia hawana hata sababu bali ni mfumo dume umeganda kwenye vichwa vyao. Ukiwauliza sababu hawana.

Hii itawekwa kwenye History. Wanaume Kama akina Gwajima, Polepole, January na wengine kama hao wanatumia njia mbalimbali kumchafua ili wanawake waonekane hawawezi. Kweli wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa.

But tunajipanga upya to clear the air.
 
Wanamsema Samia kwa sababu serikali yake inafumbia macho shutuma za mauaji, utekaji na ufisadi. Pia inakandamiza wapinzani.
It has nothing to do with gender
 
Reuben Challe hii ni leo watalii wanaendelea kumiminika Tanzania. Hii inawauma sana wakenya. Wametumia silaha zao zote kuichafua Tanzania, but bado inang'aa.

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE

Mimi kaka nakugonga kwa facts tu. Tanzania ni kati ya nchi 10 zinazokua kwa haraka Afrika.

Hii nayo unalo la kusema?

View attachment 3498293
Lakini tulifika middle income. Sasa mbona tumerudi tena Low Income kama ni kweli tunakua kwa kasi hivyo. Huenda tupo top 10 kwa sababu nchi nyingi za Africa zimelala, sio kwa sababu tunafanya vizuri sana
 
Reuben Challe hii ni leo watalii wanaendelea kumiminika Tanzania. Hii inawauma sana wakenya. Wametumia silaha zao zote kuichafua Tanzania, but bado inang'aa.

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE

View attachment 3498298
Ongezeko la watalii Tanzania ni habari njema kwangu pia. Mimi napenda tuendelee, Wakenya huwa na wivu na Tanzania, hiyo ni case tofauti kwangu. Mimi naona we are not developing fast enough maana tuna kila kitu. Sina wivu na Tanzania, kwanza ndio nyumbani. Unaanzaje kuanza kuniterm as if sitaki Tz iendelee
 
Wanamsema Samia kwa sababu serikali yake inafumbia macho shutuma za mauaji, utekaji na ufisadi. Pia inakandamiza wapinzani.
It has nothing to do with gender
Nakumbuka wakati wa Kiwete akina Ulimboka waling'olewa kucha na wengine wengi walifanyiwa mabaya lakini hatukusikia kelele kama hizi. wakati wa Maguli akina Tundu Lisu, Roma, Mo, Mauaji kule kibiti, Kituo cha Police Staki Shari askari waliuliwa kinyama.

Samia alichukua nchi katika kipindi kigumu, pia ni mwanamke wa kwanza kuwa rais. Adui zetu wameona opotunit ya kuangamiza taifa letu.

Sisi hatutakubali. Mnamchukia kwa sababu ni mwanamke!!?
 
Ongezeko la watalii Tanzania ni habari njema kwangu pia. Mimi napenda tuendelee, Wakenya huwa na wivu na Tanzania, hiyo ni case tofauti kwangu. Mimi naona we are not developing fast enough maana tuna kila kitu. Sina wivu na Tanzania, kwanza ndio nyumbani. Unaanzaje kuanza kuniterm as if sitaki Tz iendelee
Sasa unataka afanye nini kaka. Nadhani tunatakiwa kumtia moyo. Nchi ameichukua katika kipindi kigumu, Yeye ni mwanamke. Upinzani alianza nao ndani ya dini yake, viongozi wa dini yake walipinga. Kulikuwa na makundi hasimu akina January na kundi lake, Akina Bashe na kundi lake na wale waliofiwa. Ilikuwa kipindi kigumu sana.

But ameweza kutufikisha hapa. Kwangu mimi namuona ni mwanamke shujaa. Tumpe maua yake.
 
UKIMWONA MTANZANIA YOYOTE BADO YUPO KWENYE HUU UZI KUANZIA KIFO CHA JPM BASI JUA UMEMWONA MPUMBAVU HASWA ...NI MPUMBAVU TU ANAYE WEZA KUENDELEA NA HUU UZI.....KWA HAWA MARAIS TULIO NAO SASA EAST AFRICA 🙄
 
Lakini tulifika middle income. Sasa mbona tumerudi tena Low Income kama ni kweli tunakua kwa kasi hivyo. Huenda tupo top 10 kwa sababu nchi nyingi za Africa zimelala, sio kwa sababu tunafanya vizuri sana
Kaka acha kulishwa na propaganda za wasiotutakia mema. Taarifa sahihi hizi hapa kutoka source ya uhakika

Tanzania na Kenya zipo kwenye kundi moja

1762451110748.png

Mabadiliko ya mwaka huu haya hapa:

1762451169853.png
 
Nakumbuka wakati wa Kiwete akina Ulimboka waling'olewa kucha na wengine wengi walifanyiwa mabaya lakini hatukusikia kelele kama hizi. wakati wa Maguli akina Tundu Lisu, Roma, Mo, Mauaji kule kibiti, Kituo cha Police Staki Shari askari waliuliwa kinyama.

Samia alichukua nchi katika kipindi kigumu, pia ni mwanamke wa kwanza kuwa rais. Adui zetu wameona opotunit ya kuangamiza taifa letu.

Sisi hatutakubali. Mnamchukia kwa sababu ni mwanamke!!?
Mimi bado young sana, kipindi cha Kikwete huko nilikuwa sijui kitu chochote kuhusu siasa, mi ninagrow sasahivi kwa Magufuli na Samia hapo ndio nimeanza kusikia habari za siasa. Mimi si support mauaji yoyote yale hata afanye nani
Kwanza baada ya kifo cha Magufuli kutuhuzunisha Watanzania, nilifurahi kuona anayeshika kiti chake ni mwanamke. Nilikuwa curious nione utawala wake utakuaje, it's been 4 years now kwa sasa nimeona uongozi wake, kiukweli sina imani naye tena huyu mama. Mimi sidharau gender yoyote, ila utawala wa Samia kwa kweli haujanifurahisha, tena hapo kwa kuteka watu na kuua ndio naumia kabisa, tena licha ha malalamiko yote kakaa kimya
Unavyolazimisha eti namchukia kisa ni mwanamke unakosea sana. Hiyo sio sababu, nah.... not for me
 
UKIMWONA MTANZANIA YOYOTE BADO YUPO KWENYE HUU UZI KUANZIA KIFO CHA JPM BASI JUA UMEMWONA MPUMBAVU HASWA ...NI MPUMBAVU TU ANAYE WEZA KUENDELEA NA HUU UZI.....KWA HAWA MARAIS TULIO NAO SASA EAST AFRICA 🙄
Hizo ni person opinions zako tunaziheshimu.
 
Kaka acha kulishwa na propaganda za wasiotutakia mema. Taarifa sahihi hizi hapa kutoka source ya uhakika

Tanzania na Kenya zipo kwenye kundi moja

View attachment 3498300

Mabadiliko ya mwaka huu haya hapa:

View attachment 3498301
Hizi data mbona zinaishia 2024
 
Mimi bado young sana, kipindi cha Kikwete huko nilikuwa sijui kitu chochote kuhusu siasa, mi ninagrow sasahivi kwa Magufuli na Samia hapo ndio nimeanza kusikia habari za siasa. Mimi si support mauaji yoyote yale hata afanye nani
Kwanza baada ya kifo cha Magufuli kutuhuzunisha Watanzania, nilifurahi kuona anayeshika kiti chake ni mwanamke. Nilikuwa curious nione utawala wake utakuaje, it's been 4 years now kwa sasa nimeona uongozi wake, kiukweli sina imani naye tena huyu mama. Mimi sidharau gender yoyote, ila utawala wa Samia kwa kweli haujanifurahisha, tena hapo kwa kuteka watu na kuua ndio naumia kabisa, tena licha ha malalamiko yote kakaa kimya
Unavyolazimisha eti namchukia kisa ni mwanamke unakosea sana. Hiyo sio sababu, nah.... not for me
Ndio maana ninakuambia sasa kama unataka kufuatilia siasa, unatakiwa ufuatilie kwa kina. Maana wale ambao hawalitakii mema taifa letu wanaweza kufanya chochote na kuangushia mzigo serikali.

Hizo siasa chafu zinafanywa kila sehemu duniani. Serikali zinaongozwa na watu, humo humo kwenye serikali kuna watu wenye roho mbaya. Wakati wa Magufuli, Mbowe alitiwa ndani kwa kosa la ugaidi.

Hakuna mtu anayependa mauaji na watu kutekwa hata Rais mwenyewe hapendi. But hilo jambo is very complex maana kuna wengine wanatumiwa na NGOs ili kuchafua nchi.
 
Sasa unataka afanye nini kaka. Nadhani tunatakiwa kumtia moyo. Nchi ameichukua katika kipindi kigumu, Yeye ni mwanamke. Upinzani alianza nao ndani ya dini yake, viongozi wa dini yake walipinga. Kulikuwa na makundi hasimu akina January na kundi lake, Akina Bashe na kundi lake na wale waliofiwa. Ilikuwa kipindi kigumu sana.

But ameweza kutufikisha hapa. Kwangu mimi namuona ni mwanamke shujaa. Tumpe maua yake.
Ametufikisha hii hatua ya Political unrest, yani hadi Watanzania na upole wote ule wakafikia hatua ya kuandamana kwa wingi against serikali, hadi wananchi wamepoteza imani na serikali yao. Na hii massacre duh... Mbona naona katufikisha pabaya sana

Ila mimi natamani tu hii miaka 5 apunguze kuteka, na aanze kusikiliza wananchi. Pia aruhusu criticism. Hali ni mbaya watu wanaogopa kucriticise serikali kuhofia kutekwa na kuuawa. Naomba sana kwa Mungu Samia ajirekebishe. Kama akiongoza vizuri hii miaka 5 hakika nitampenda. Mimi natamani kuona nchi inaendelea na pia inakuwa na haki. Sio kama sasahivi, wenye amani na uhuru wa kuongea ni machawa wake tu
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha akizungumza na wananchi Wa Tanzania na Kenya mpakani Namanga

Hizo ni person opinions zako tunaziheshimu.
Ni true ....mtu awezi kuwa na akili akaendelea na huu uzi toka kifo cha jpm ...tambua huu ukweli ...kama wewe ni mmoja wapo basi jitambue toka sasa kuwa wewe ni low iq na mmoja wapo wa wapumbavu walio tukuka .....lengo siyo kukutukaneni bali nisemacho ni ukweli.
 
Truth is relative.
 
Ametufikisha hii hatua ya Political unrest, yani hadi Watanzania na upole wote ule wakafikia hatua ya kuandamana kwa wingi against serikali, hadi wananchi wamepoteza imani na serikali yao. Na hii massacre duh... Mbona naona katufikisha pabaya sana

Ila mimi natamani tu hii miaka 5 apunguze kuteka, na aanze kusikiliza wananchi. Pia aruhusu criticism. Hali ni mbaya watu wanaogopa kucriticise serikali kuhofia kutekwa na kuuawa. Naomba sana kwa Mungu Samia ajirekebishe. Kama akiongoza vizuri hii miaka 5 hakika nitampenda. Mimi natamani kuona nchi inaendelea na pia inakuwa na haki. Sio kama sasahivi, wenye amani na uhuru wa kuongea ni machawa wake tu
Hata kipindi cha Nyerere kulikuwa na political unrest. Ni mambo ya kawaida katika nchi. Huko USA kulikuwa na kipindi wakati wa Trump political unrest watu wakatembea na agenda ya Black Matter. Mambo yataenda kisha yatakaa sawa.

It is normal in a coutry kutoka mambo hayo ndio maana vipo vyombo vya ulinzi
 
Ni true ....mtu awezi kuwa na akili akaendelea na huu uzi toka kifo cha jpm ...tambua huu ukweli ...kama wewe ni mmoja wapo basi jitambue toka sasa kuwa wewe ni low iq na mmoja wapo wa wapumbavu walio tukuka .....lengo siyo kukutukaneni bali nisemacho ni ukweli.
Uzi ni Battle: Dar es Salaam vs Nairobi, muda umeenda sasahivi umebadilika umekuwa Tanzania vs Kenya
Kila mtu humu ana nchi yake ambayo kwa upande wake anaona ni bora kuliko nyingine, that's why huu uzi unaendelea hadi leo.
Sio uzi wa kusifia viongozi bali ni uzi wa kutetea beliefs zako kwa hoja. Anayeona Tanzania ni bora analeta facts kutetea anachoamini na anayeona Kenya ni bora anatetea anachokiamini kwa hoja. Kuwa na viongozi wabaya haimaanishi nchi zetu ni mbaya 100%. Fuatilia vizuri huu uzi tafadhali. Sio kweli kwamba sisi ni wapumbavu
 
Hata kipindi cha Nyerere kulikuwa na political unrest. Ni mambo ya kawaida katika nchi. Huko USA kulikuwa na kipindi wakati wa Trump political unrest watu wakatembea na agenda ya Black Matter. Mambo yataenda kisha yatakaa sawa.

It is normal in a coutry kutoka mambo hayo ndio maana vipo vyombo vya ulinzi
Umeona lakini jinsi kulivyotokea unnecessary deaths? Yani jinsi authorities zilivyodeal na hili suala, kwa kuua watu hadi majumbani kwao duh.
Mungu aisaidie Tanzania
 
Back
Top Bottom