Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lakini ukweli utabakia pale pale...Kisii ni kubwa kwa hiyo kijiji mnaita Iringa. Naamini wewe ushawahi pitia Kisii kutoka Migori so unajua ninachosema
Unaposema ukweli utabaki palepale, ukweli huo nani ameuthibitisha?, wewe unasema Kisii bila supporting evidence, na yeye anasema Iringa bila supporting evidences, wewe unajivisha kwamba ndiyo mkweli, na yeye anasema ndiyo mkweli.
 
tueleze wewe more about bullet trains???? usiogope swali jibu swali
I am not an expert on bullet trains but the little knowledge I have tells me that a bullet train CANNOT run or a standard gauge railway (sgr). Secondly, the energy requirements is too high for tanzania to afford (unless mufunge viwanda zenu zote na kuelekeza umeme yenu yote kwa bullet train). Ndo maana nazidi kuwaambia kwamba hata kule ulaya, ni nchi chache mno ndo ziko na bullet trains. Hapo sijataja the technology that goes into running it ambayo najua hamna
 
Mwaka umeanza vizuri kwa habari njema Katika Jiji la Dar es Salaam..

Ma dollar yatamwagika mahotelini, Serikalini

dcfe98120aa565acc0058bad4f647062.jpg
Jirani roho itamuuma hapa afu hao wakimaliza mkutano itabidi tuwapeleke serengeti tule hela yao vzur
 
Ndugu ebu enda nyuma kidogo kwa comment yako ya awali mahali unataja mambo na bullet train. Naamini hapo utaelewa mahali hii argument ya bullet train imechipukia. What you are talking about here is just your counterargument after I questioned your comment on tanzania building a bullet train. I hope hapo utanielewa
labda mm nikueleze kitaalamu, sgr ya tanzania ni continuously welded rail tofaut na ya kenya munafunga bolt after some meters, na hio ni reason moja wapo ya train kwenda speed zaidi without vibration, tanzania itakua na one of the moder electric bullet train na wataanza starting speed of 160km/hr na later itakwenda mpaka 260km/hr

66593AD4-F67F-4EB6-8921-78AADB21D834.jpeg
 
kwa ninavo fahamu mm bullet train ni high speed train na most of bullet train use electricity so hebu tueleze wewe ufahamu wako
Kwa hivyo that's all you know about bullet trains? hahaha....kweli kuwa mbongolala ni garama sana. Hebu nikuulize swali rahisi: Can a bullet train run on an sgr? Nijibu hilo swali kabla hatujaendelea
 
labda mm nikueleze kitaalamu, sgr ya tanzania ni continuously welded rail tofaut na ya kenya munafunga bolt, na hio ni reason moja wapo ya train kwenda speed zaidi without vibration, tanzania itakua na one of the moder electric bullet train na wataanza starting speed of 160km/hr na later itakwenda mpaka 260km/hr

View attachment 666385
260 km umetoa wapi??
 
I am not an expert on bullet trains but the little knowledge I have tells me that a bullet train CANNOT run or a standard gauge railway (sgr). Secondly, the energy requirements is too high for tanzania to afford (unless mufunge viwanda zenu zote na kuelekeza umeme yenu yote kwa bullet train). Ndo maana nazidi kuwaambia kwamba hata kule ulaya, ni nchi chache mno ndo ziko na bullet trains. Hapo sijataja the technology that goes into running it ambayo najua hamna
Umekubali kwamba sio mtaalamu katika eneo hilo, even that little knowledge you have is wrong, completely wrong. We have very good experts from within and outside the country who plan and implement the project.
 
labda mm nikueleze kitaalamu, sgr ya tanzania ni continuously welded rail tofaut na ya kenya munafunga bolt, na hio ni reason moja wapo ya train kwenda speed zaidi without vibration, tanzania itakua na one of the moder electric bullet train na wataanza starting speed of 160km/hr na later itakwenda mpaka 260km/hr

View attachment 666385
Yeye anabahatisha tu, anashindwa kukubaliana na mabadiliko ya Tanzania, atapata BP bure huyu.
 
Kwa hivyo that's all you know about bullet trains? hahaha....kweli kuwa mbongolala ni garama sana. Hebu nikuulize swali rahisi: Can a bullet train run on an sgr? Nijibu hilo swali kabla hatujaendelea
unauliza swali au jibu😀😀😀😀
27738D4F-9021-41E1-A347-80CA698A96D8.jpeg
 
Umekubali kwamba sio mtaalamu katika eneo hilo, even that little knowledge you have is wrong, completely wrong. We have very good experts from within and outside the country who plan and implement the project.
Tuwache ugomvi usiokuwa na faida. Ni dhahiri kwamba you have very little knowledge, if any, about what you are talking about so this argument is pointless. Nimekubali mnajenga bullet train. In fact hamjengi just a bullet train but a super, dopper bullet train the world has ever seen. A bullet train that will travel at the the speed of light of 180km/h. Congratulations Tanzania!
 
Wachane na hawa wabongolala wajifurahishe. Wanapenda arguments yet they don't know wjat tjey talk about most of the time
kwanza Tz sgr na kenya sgr ni tofaut sana

tanzania inatumia continuous welded rail na reson behind kwasababu train itaenda speed sana na kupunguza vibration

kenya wanatumia bolt joint after some meters na hii sio maalaum kwa train za speed kubwa
 
Wachane na hawa wabongolala wajifurahishe. Wanapenda arguments yet they don't know wjat tjey talk about most of the time
na ili uamini kua train ya tanzania itakwenda speed sana ni kwamba wataweka kingo pembezoni mwa rail from dar to mwanza hakuna mtu au mnyama ataweza kukatiza
 
Back
Top Bottom