Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna mpuuzi mmoja alisema sgr from msa to nairobi wanalipa only 7usd kumbe muongo economy class wanalipa 900ksh sawa na 8.74usd😀😀😀😀
sijui kwann wakenya munahusudu uongo
84E261F8-CDDA-4714-8FFB-E7B593481737.jpeg



Kenya: What It Will Cost to Travel on New SGR Railway
 
Watu wanaita train ya 160km/hr bullet train ....alafu waone hapa juu vile wanajiona wajuaji.bongolala ni kama ugonjwa acha niende zangu kimya
 
Ni lazima tu useme hivyo. Hiyo Iringa haifikii Kisii hata robo. Hiyo hata kwa Kitale ni ndogo sana. Chenye nimeona hapo ni kuwa iko na barabara pana, kitu ambayo kisii haina. Lakini kwa ukubwa na ujenzi, Kisii inaizidi mbali sana
Hivi we unaijua iringa wewe? Hebu tazama iringa halisi
ad04d716478ff5f46f06d6e81b644f15.jpg
4c3666ceba0b453c8b7e0cbbe7c7458a.jpg
6be8e9d03237c53a01ab44054e4c7126.jpg
a070f08db6776efa3fae076e888f7ed4.jpg
8b2f0ad77d9c470f84faadcb787e4039.jpg
 
Maana halisi ya gari moshi is any train which produces smoke from engine. Hivi kwanini lakini katika karne hii ya sasa mliamua kujenga diesel engine train?, yaani sielewi hadi sasa.
wanajaribu kuipaka makeup jina kwa kutaka kulazimisha eti tuiite "buleti treni" badala ya gari moshi.

ile gari moshi tu period.
 
Back
Top Bottom