Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Viwanda serious vya Mo viko Kurasini, ambako anatengeneza Sabuni na mafuta ya kula.

Lakini pia anavyo vya unga na vinywaji.

Biashara nyingine za Mo ni Yard ya empty containers, na Khanga Morogoro.

Nyingine ni bishara za chap chap tu.


Ila Azam,


  • Media
  • Unga
  • Ice cream
  • Vinywaji
  • Marine tranaport
  • Real estate /Fumba town/Hotel verde
  • Technology
  • Mpira
-


Bado ukienda Kenya, Rwanda, Uganda, Mozambique, unamkuta.

Azam habahatishi hata kidogo
Umesahau hapo Azam wana kampuni ya ujenzi. Inajenga barabara na madaraja hususani Zanzibar. Sasahivi wana mpango wa kuexpand Tanzania bara na nchi jirani, Kenya, Zambia, Rwanda, Burundi nk
Pia wanayo packaging company, hadi viwanda vingine vinaagiza package zake toka kwa Azam. 60% of packages zinakuwa exported to outside companies na 40% wanauza humu ndani
Japo binafsi naielewa zaidi MeTL
 
Imagine the audacity! 🤣🤣🤣
Ile kijiko nyama of linear development with three towers along the road 🤣🤣
Enyewe watu wako desperate vibaya hapa!
🤣😂😂😂I think we owe Germany an apology, inafaa wangebaki wa wafinye kabisaa mpaka akili zao zirudi kureason vizuri ...
 
Alafu Kuna Mbeya "city" mahali 🤣🤣🤣🤣🤣
Wonders shall never cease!
Jiji la Mbeya liliendelea zamani sana wakati huo watu hawakuwa wanajenga nyumba nzuri na watu wa mpango mji hawakujihangaisha kuupanga ndio maana unaona leo hii Mbeya ipo hivyo.
Lakini jiji la Mbeya sio la kulichukulia poa kwa sababu Mbeya hata kama ingekuwa Kenya, ungekuwa ni mji wa muhimu pia. Tatizo ni siasa ndio zimefanya tuchelewe kuuplan huu mji

Lakini jiji la Mbeya lina mapato makubwa, viwanda vingi, universities nyingi, biashara nyingi, population ya takribani watu laki 7, soko la kisasa na sasahivi jiji limeanza kufufuka. Kuna upanuzi wa barabara unaendelea, watu wanajenga nyumba bora sasahivi na NHC soon wanajenga "Mji wa Kisasa" eneo la Nsalaga. Jiji la Mbeya lipo vizuri kwenye huduma za kijamii kuliko miji mingi hapa Africa, tatizo ni haupo organised na ni poorly plan
Ila kupitia mpango huu wa NHC jiji la Mbeya litabadilika sana in the near future

View: https://youtu.be/ykyQnMg-v3w?si=wpndqHlKQE9gTa4a

📷 Mbeya
Screenshot_2025-10-18-17-17-16-894_com.google.android.youtube.png
Screenshot_2025-10-18-17-16-45-020_com.google.android.youtube.png
Screenshot_2025-10-18-17-16-18-483_com.google.android.youtube.png
Screenshot_2025-10-18-17-15-35-127_com.google.android.youtube.png
Screenshot_2025-10-18-17-15-12-350_com.google.android.youtube.png
Screenshot_2025-10-18-17-14-47-580_com.google.android.youtube.png
Screenshot_2025-10-18-17-14-14-446_com.google.android.youtube.png
 
Back
Top Bottom