Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si Niliskia gorofa sio maendeleo? Mmepata gorofa moja na Kama kawaida yenu hamngekosa kuipost😂😂

Ni vile tu Tz hatuna midomo. Na tall buildings don't excite us

Kuna hiz twin towers pale Morocco
PXL_20250923_135543508.PORTRAIT.ORIGINAL.jpg
PXL_20250923_135209833.PORTRAIT.ORIGINAL.jpg
PXL_20250923_135128923.jpg
 
Ati nje ya Nairobi ni mashambani? Mombasa alone is more developed than any area in Tanzania, hata Dar will struggle to match Mombasa.

Put Kisumu and your second city Mwanza in a competition and see Mwanza giving up even before the game starts.
He's talking about mashambani he forgets that within dar boundaries kuna maeneo watu wanalima mahekari za mihogo, something you'll never find in Nairobi.
 
Don't hide behind Pan-Africanism, you people are just copycats.

Kutunga Tu a simple national anthem imewashinda? Ntakuwa lazy mpaka lini you witches?
Kwanza, ni vizuri ujue kuwa Mungu Ibariki Afrika haikuibwa na Tanzania. Wimbo huo uliandikwa na Enoch Sontonga, Mzulu kutoka Afrika Kusini, mwaka 1897. Ulienea kote Afrika kama wimbo wa mapambano na umoja wa Waafrika kabla hata nchi nyingi kupata uhuru.

Tanzania ilichagua wimbo huo kama alama ya umoja wa Waafrika na mapambano ya ukombozi, si uvivu wala wizi.

Kwa hiyo, si “copycat” ni kuzingatia urithi wa real panafricanism, ambao unawakilisha maombi ya pamoja ya Waafrika wote: Mungu ibariki Afrika
 
Back
Top Bottom