Licha ya kujaribu kuficha na hayo maghorofa lakini bado sana.Anayejidanganya kati yangu na wewe ni nani sasa? We are getting rid of our slums and evidence ipo for all to see. Nyinyi on the other hand, slums zenu zinazidi kuongezeka na hakuna uboreshaji wowote inafanyika. Sasa ni wapi ndio bado sana as you put it? Ugua pole
Pachafu sana , ni noma patakua pananuka sana piaje munaeza kuamini hii ndio singapore ile kasonge yeyee alikua akiongelea
siti in ze san 😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View attachment 3483815View attachment 3483816View attachment 3483817View attachment 3483818View attachment 3483820View attachment 3483821View attachment 3483822View attachment 3483823View attachment 3483824View attachment 3483825View attachment 3483826
kila mtu kavaa barakoa kwasababu ya harufu mji umeoza unanuka 😂😂😂P
Pachafu sana , ni noma patakua pananuka sana pia
View: https://x.com/Mastardcesh/status/1974447644849340456?t=55JROmpLzFqU4VE5dv6tDQ&s=19 kunyan wanazaliana kama sisimizi
Watchman unaongea hapa na wewe mwenyewe unaishi slum?Huyo anatamani aamke akute ma slums yameondoka yoteee, lkn bad news kwake ma slums ndo kwanza yame triple, wao wanadhani wakijenga vighorofa viwili vitatu ndiyo watamaliza ma slums, hawajui ma slums ni matokeo ya umaskini uliokithiri, leo hii mkazi wa mukuru kayaba ukimpeleka posh areas badala yeye abadilike aendane na mazingira but mazingira ndiyo yatabadilika yaendane na yeye, akili hawana wakenya.
hii ndio ile lapset project ambayo ina over 10 good years project ilianza 2012 leo ni 2025
katika barabara ya 410 km wamekamilisha only 88 km so far
hawa ndio wanashindana na tanzania
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1975180689101279464?s=46
Afadhali mimi natumia magorofa kuficha. Wewe utatumia nini kuficha huu uozo?🤣🤣Licha ya kujaribu kuficha na hayo maghorofa lakini bado sana.
View attachment 3484607
Cc: Mimi Wewe Yule
Are those huts on the right bottom corner of the frame? 🤣🤣🤣Tanzania na barabara za Lamu ni kama maji na mafuta.
This is Kahama Town, Shinyanga.
View attachment 3484661