Watchman unaongea hapa na wewe mwenyewe unaishi slum?Huyo anatamani aamke akute ma slums yameondoka yoteee, lkn bad news kwake ma slums ndo kwanza yame triple, wao wanadhani wakijenga vighorofa viwili vitatu ndiyo watamaliza ma slums, hawajui ma slums ni matokeo ya umaskini uliokithiri, leo hii mkazi wa mukuru kayaba ukimpeleka posh areas badala yeye abadilike aendane na mazingira but mazingira ndiyo yatabadilika yaendane na yeye, akili hawana wakenya.
hii ndio ile lapset project ambayo ina over 10 good years project ilianza 2012 leo ni 2025
katika barabara ya 410 km wamekamilisha only 88 km so far
hawa ndio wanashindana na tanzania
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1975180689101279464?s=46
Afadhali mimi natumia magorofa kuficha. Wewe utatumia nini kuficha huu uozo?🤣🤣Licha ya kujaribu kuficha na hayo maghorofa lakini bado sana.
View attachment 3484607
Cc: Mimi Wewe Yule
Are those huts on the right bottom corner of the frame? 🤣🤣🤣Tanzania na barabara za Lamu ni kama maji na mafuta.
This is Kahama Town, Shinyanga.
View attachment 3484661
kenya chafu jamaniii 🤮 🤮 🤮 🤮 🤮 🤮 🤮pipeline embakasi
siti in ze san 😂😂😂😂😂
View attachment 3484591View attachment 3484592View attachment 3484593View attachment 3484594
Mbona hapo ni afadhali kuliko huku, au unajifanya huoni?Afadhali mimi natumia magorofa kuficha. Wewe utatumia nini kuficha huu uozo?🤣🤣View attachment 3484662
Those huts are scattered all over the town😂Are those huts on the right bottom corner of the frame? 🤣🤣🤣
Unajifanya huoni?
Bado ni afadhali kuliko Mukuru au unajifanya huoni?😂Unajifanya huoni?View attachment 3484674