Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A mountain that is 5,800 meters high and is visible from tens of kilometres away. Yani when we call these bongolalas, they truly are bongolalas!
Wala hakuna haja, watalii lazima waje Tz ili waupande mlima, watz walikuwa na nguvu sn tangu miaka iliyopita, na ndiyo mana ukaona tulichukua rasilimali nyingi ambazo nyingine ilibidi ziwe zenu kama mt Kilimanjaro. Hamna umiliki wowote wa huo mlima, hakuna mtalii atatoka huko kwao aje kuuona tu mlima Kilimanjaro pasipo kuupanda.
 
Mtanzania anayeitetea Tanzania ya Samia Hana akili, Nchi yetu imekuwa Shithole
Octomba tunatikiii... Wazee wa mfumo tunaenjoyyyy nchii
1000145117.jpg
 
Bado sana, usijidanganye. Unapata faida gani kujidanganya?😎

Cc: Mimi Wewe Yule
 
Back
Top Bottom