Dar port especially the RoRo berth inapokea mzigo mwingi sana wa magari for Southern Africa countries. Jana nimeona chuma 3 za Yutong zikitoka port kuelekea South Africa moja ya Bafana Bafana nyingine ya Brooklyn Express na moja haina charter.
Tungekuwa na akili tungeanza kuipanua mdogo mdogo Barabara ya Dar to Tunduma. Miezi sita sita km 50 kwa kuongeza lane mbili kila upande wa Barabara. Mbona Barabara za masaki zimejengwa haraka haraka ndani ya miezi miwili.Dar port especially the RoRo berth inapokea mzigo mwingi sana wa magari for Southern Africa countries. Jana nimeona chuma 3 za Yutong zikitoka port kuelekea South Africa moja ya Bafana Bafana nyingine ya Brooklyn Express na moja haina charter.
Jana maandamano kidogo. Ya kuvunja vioo. Leo Asubuhi wameleta mabasi mapya.
Really?No we aren't
Back to you. Aren't you still using pit latrines in Dar in 2025?
Oil wamegundua 10 years ago mpaka sasa wameifanyia nini tuanzie hapo kwanza.You are always acting stupid with some scapegoats after selling everything to foreigners and the Kenyatta family.
We have Tanzanite, you have Oil.
We have no crude oil.
Ila barabara ya Kibaha Chalinze na Morogoro iko under procurement kwa sasa.Tungekuwa na akili tungeanza kuipanua mdogo mdogo Barabara ya Dar to Tunduma. Miezi sita sita km 50 kwa kuongeza lane mbili kila upande wa Barabara. Mbona Barabara za masaki zimejengwa haraka haraka ndani ya miezi miwili.
Wanaweza Anza na madaraja kwanza maeneo kama ruvu, bwawani nk.
Tunaweza sana kuongeza lane 4 Barabara ikawa Njia sita hadi Tunduma tena kwa pesa za ndani.
Tukianza sasa, mwezi wa sita mwakani Barabara ya Njia sita inakuwa challinze, mwisho wa mwaka mikese. Hivyo hivyo hadi Morogoro
Barabara ikiwa nzr na Pana kutoka Dar hadi Tunduma. Watu wa southern wote watahamia port of Dar es Salaam
Viongozi hawana vision and they lack sharpness kwenye kuona mbele haraka.Tungekuwa na akili tungeanza kuipanua mdogo mdogo Barabara ya Dar to Tunduma. Miezi sita sita km 50 kwa kuongeza lane mbili kila upande wa Barabara. Mbona Barabara za masaki zimejengwa haraka haraka ndani ya miezi miwili.
Wanaweza Anza na madaraja kwanza maeneo kama ruvu, bwawani nk.
Tunaweza sana kuongeza lane 4 Barabara ikawa Njia sita hadi Tunduma tena kwa pesa za ndani.
Tukianza sasa, mwezi wa sita mwakani Barabara ya Njia sita inakuwa challinze, mwisho wa mwaka mikese. Hivyo hivyo hadi Morogoro
Barabara ikiwa nzr na Pana kutoka Dar hadi Tunduma. Watu wa southern wote watahamia port of Dar es Salaam
Huyu ni mkenya mwenzenu kabisa angalia sura yake.Tanzanian street beggar arrested by public in Pangani Kenya 🤣🤣
![]()
1M views · 22K reactions | Hii ndio inaitwa instant healing ama? | The lucky mum Debra Nyanchoka
Hii ndio inaitwa instant healing ama?www.facebook.com
Hutu tumiradi tudogo dogo."Kenya hakuna miradi"
Meanwhile
Mwache dam
View attachment 3482167
View attachment 3482168
Thwake damView attachment 3482169View attachment 3482170
Siyoi-MurunyView attachment 3482171View attachment 3482172
Nikirudi bongo this time nataka nianze content ya kupiga picha gari za IT na trucks zinatoka dar port,binafsi kwa siku uwa nakutana na IT zaidi ya 80 na trucks zaidi ya 50,sasa hivi hadi zimbabwe wamerudi kutumia dar port,TBS wafanye kazi watuletee data sahihi za dar portDar port especially the RoRo berth inapokea mzigo mwingi sana wa magari for Southern Africa countries. Jana nimeona chuma 3 za Yutong zikitoka port kuelekea South Africa moja ya Bafana Bafana nyingine ya Brooklyn Express na moja haina charter.
Nishawai sema hapa before, bongoslum wakona tabia kupiga journalists when they report negative news about their shitty country.
View: https://x.com/eastafricatv/status/1964284323839783379
I think kwenye RoRo Dar port inaongoza Eastern and Southern Africa ships prefer calling at Dar port due to increased efficiency and no waiting time for RoRo vessels.Nikirudi bongo this time nataka nianze content ya kupiga picha gari za IT na trucks zinatoka dar port,binafsi kwa siku uwa nakutana na IT zaidi ya 80 na trucks zaidi ya 50,sasa hivi hadi zimbabwe wamerudi kutumia dar port,TBS wafanye kazi watuletee data sahihi za dar port
TZ tunachimba dhahabu tarime, ukanda huo huo upande wa Kenya, Migori kuna dhahabu, yaneachia wahuni wanachimba kihuni halafu yanalalamika.Oil wamegundua 10 years ago mpaka sasa wameifanyia nini tuanzie hapo kwanza.
Irrigation au hydropower??"Kenya hakuna miradi"
Meanwhile
Mwache dam
View attachment 3482167
View attachment 3482168
Thwake damView attachment 3482169View attachment 3482170
Siyoi-MurunyView attachment 3482171View attachment 3482172
Hayo ni mavi yanamwagika barabarani hivo. 🤣 🤣
sasa hvi ni muda wa watu kula pesa tuMbona mi naona kama hiki kipande kinachukua muda mrefu kuliko muda uliotumika kujenga kutoka Dar-Moro?