Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pole sana uachage kuokota picha za miaka 7 nyuma

View: https://www.instagram.com/reel/C6EATQ-q8Yx/?igsh=MWpvZm8xZHNkeDl5MA==

Leta picha za Jana za uwanja wa sokoine badala ya kuokoteza

Wewe ni mjinga tu. Picha za kitambo wakati nimekuwekea hadi link ujisomee vile kocha wa Yanga analalama kuhusu hali mbovu ya uwanja huo wakati wa mechi yao ya weekend iliyopita!

Mitanganyika mnatia huruma sana
 
Built in Kenya by Kenyans for Kenyans.

Buy Kenya Build Kenya is our slogan.

1000076002.jpg
1000076003.jpg
 
It will bring in much needed revenues for TZ that will be used to improve health services, education etc.
Which Revenue? Kama ya gold ndio imeshinda kupata, who cheated you that hiyo ya Uganda ndio zitawafikia huko Chini?

Hizo pesa zote zitaishia kwenye mifuko ya wanasiasa.
 
Unajua maana ya commuter rail system kweli wewe bongolala?
All out commuter rails, hata ya Nairobi, ni MGR.

And who told you that having a commuter rail is supposed to eliminate matatus and bodabodas? Dar kuna commuter rail na bado imejaa hizo biti zote umetaja

Jengeni commuter rail Mwanza or Arusha kisha uje tuongee
Dar and Dodoma tuna jenga subways/underground rail system.
Dar commuter rail set for construction - Daily News
 
Wanasema huwa hawasomi Tanzania wamefuata nn sasa maneno 100 ya mnusa gundi chukua moja nahata hilo moja angalia sana
Those are people who couldn't make it to Kenyan universities. Madwanzi in other words
 
Hawa etihad warudishe route ya dar-abu dhabi pia,au air Tanzania waingie code share agreement na etihad,jamaa ndege yao ilikua inajaa route ya dar,ghafla wakacancel ile route abiria wao wa dar wakawa wanachukuliwa kq kutransit banda la kuku naikundu ndio wanapandia etihad,hii ni sabotage ya kunyan tu itakua
kwa sasa huna kiongozi mwenye maono hayo kaka 😂😂😂😂
kua mpole tu
 
TZ sio Kenya we nyangau.
Ingekuwa Tz is not Kenya basi all those natural resources you have on your country ingekuwa inawasaidia, ubaya it's only a few who eats those revenues.😂😂😂.

Tanzania has all the available natural resources in the world but it's still ranked 24th most poorest country in the world.
 
Back
Top Bottom