Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,990
Ukunyan kuna hadi maghorofa ya udongo
Hiyo gorofa inakukalia ya udongo bongolala? 🤣🤣🤣View attachment 3480180
Ukunyan kuna hadi maghorofa ya udongo
Tofautisha upimaji wa viwanja na makazi yaliyopangiliwa,bongo tuna viwanja vilivyopimwa tuu lakini makazi hayajapangiliwa nchi zilizoendelea huwezi kuhamia nyumba haijakamilika ila bongo ni kawaida nyumba hazina sewage system,nyingine hazina maji ila utakuta mtu anaishi ndani na familia yake, hapo hapo barabara hamna na vitu kibao vya msingi ila makazi yakiwa planned huduma zote za kijamii zinakuwa zishafikishwa kabla ya mtu kuhamiaa mfano mbweni ni rich neighborhood ila hakuna public pack au reliable public transport na reliable simaniishi bodabodaUnplanned settlements haitokani na ubora wa nyumba, ila hutokana na ujenzi wa maeneo yasiyopimwa.
Hiyo gorofa inakukalia ya udongo bongolala? 🤣🤣🤣
Stop the desperation. Hebu linganisha hiyo mtaa na zile uswazi zenu
Leo haujui mitaa yenu ya uswazi yaliyotapakaa kila mahali?View attachment 3480184
Nyang'au unaongelea mitaa ipi?
Leo haujui mitaa yenu ya uswazi yaliyotapakaa kila mahali?
👇👇👇
Wewe ndio huna akili to believe that a place like Ruai, mentioned in your map, is actually a slum View attachment 3479582View attachment 3479583View attachment 3479584View attachment 3479589View attachment 3479590View attachment 3479591View attachment 3479592
View attachment 3479599
If Ruai above is a slum, what then should we call these ones below?View attachment 3479594
View attachment 3479595View attachment 3479596View attachment 3479597View attachment 3479598
Ulitaka aishi wapi?Tofautisha upimaji wa viwanja na makazi yaliyopangiliwa,bongo tuna viwanja vilivyopimwa tuu lakini makazi hayajapangiliwa nchi zilizoendelea huwezi kuhamia nyumba haijakamilika ila bongo ni kawaida nyumba hazina sewage system,nyingine hazina maji ila utakuta mtu anaishi ndani na familia yake, hapo hapo barabara hamna na vitu kibao vya msingi ila makazi yakiwa planned huduma zote za kijamii zinakuwa zishafikishwa kabla ya mtu kuhamiaa mfano mbweni ni rich neighborhood ila hakuna public pack au reliable public transport na reliable simaniishi bodaboda