Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sonko road singapore ya africa 😂😂

IMG_8920.jpeg
IMG_8921.jpeg
IMG_8922.jpeg
 
Urban sprawl is, in fact, a terrible planning model—one that contemporary urban planners are steadily steering away from. Still, if you wish to go down that road as a country, the choice is yours.
Actually for a big country like TANZANIA, it is works. Just why even in Dar, people wanamaliza miaka hawajaenda huko posta wala kariakoo. Huduma zinawafuata.

Hiyo model ya kujibana kwa apartments, huku ardhi ikimilikiwa na wachache ndo best model? Hizo model zinafaa nchi au Miji iliyobana sana kama Hong Kong, Singapore huko. Sio Kenya, nchi yenye lower urbanization kuliko hata Tz
 
TZ nyumba nyingi hazijengwi na makampuni.

Hizi fahari za macho hazina future.

Mfano hoyo Fimba ni mradi wa Azam. Lakini wanaonudu kuisho hapo siyo Wazanzibar.

Tunapowacheka Wakenya, hatufakiwi kwenda njia hiyo.
I hate to admit but it is best way, watu binafsi kujijengea nyumba so far ndio imetuletea unplanned settlements na ndicho kinaendelea Dodoma sasa, watu wanajenga kiholela tuu ,inabidi tutofautishe mitaa au makazi yaliyopangiliwa na viwanja vilivyopimwa,bongo tuna viwanja vilivyopimwa ila makazi hayajapangiliwa hamna Tanzania kasoro sehemu chache kama fumba na kwa mbali avic na maeneo kadha ya masaki na oystarbay
 
Unplanned settlements haitokani na ubora wa nyumba, ila hutokana na ujenzi wa maeneo yasiyopimwa.
 
Actually for a big country like TANZANIA, it is works. Just why even in Dar, people wanamaliza miaka hawajaenda huko posta wala kariakoo. Huduma zinawafuata.

Hiyo model ya kujibana kwa apartments, huku ardhi ikimilikiwa na wachache ndo best model? Hizo model zinafaa nchi au Miji iliyobana sana kama Hong Kong, Singapore huko. Sio Kenya, nchi yenye lower urbanization kuliko hata Tz
It has little to do with the size of a country, my friend. Urban planning clearly escapes your grasp. The issue lies in the efficient use of energy and resources. Even countries with way more land than Kenya and Tanzania like the USA are feeling the negative effects of urban sprawl and trying to move away from it. Perhaps you should consult an urban planner to shed some light, because your defense of urban sprawl comes across as both juvenile and devoid of professional understanding.
 
They argue for the sake of it and defending the indefensible
 
Back
Top Bottom