Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inabidi Tanzania ifike mahala tukomeshe ujenzi holela, makampuni binafsi yenye uwezo ndio yaruhusiwe kujenga nyumba na kupangilia makazi ya watu na sehemu za bishara,kosa tulilolufanya dar tunalirudia dodoma, makazi ya watu hamna sewage system na green spaces na mengineyo ILA KABLA YA HAYO ITABIDI KWANZA TUIKOMBOE NCHI YETU TAREHE 29 OKTOBA. MFANO mzuri wa well planned neighborhood hapa bongo 👇🏾👇🏾👇🏾

Mfano kama mbweni majumba ya kifahari ila ni poorly planned hakuna sewege system,hakuna parks wala nini public transport ndio kabisa ni ushubwada

View: https://www.instagram.com/reel/DO5_ilZjLQB/?igsh=MWNyNHlkZnh1N2theQ==

TZ nyumba nyingi hazijengwi na makampuni.

Hizi fahari za macho hazina future.

Mfano hoyo Fimba ni mradi wa Azam. Lakini wanaonudu kuisho hapo siyo Wazanzibar.

Tunapowacheka Wakenya, hatufakiwi kwenda njia hiyo.
 
Tangu lini Upperhill ikawa CBD? Najua mmezoea kuona Tu gorofa Tatu in your CBD pekee unadhani Kenya pia penye kuna gorofa basi ni CBD. For your information Upperhill is part of Kibera, actually Upperhill is in Kibra Constituency.
Whole of Upper Hill, Kenyatta Market, Ngumo estate, parts of Woodley estate are all in Kibra constituency
 
Syokimau has some very nice houses and the planning is dope
images - 2025-09-19T003729.371.jpeg
images - 2025-09-19T003917.809.jpeg
lovely-4-bedroom-townhouse-for-sale-in-syokimau-7pfsq.jpg
modern-4-bedroom-maisonette-with-dsq-to-let-for-sale-in-syokimau-n3dko.jpg
 
Back
Top Bottom