Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza wasanii wao hata kuwajua hatuwajui, hawa wanusa gundi ni ubishi tu lkn ukweli ni kwamba tumewatawala kivyote, kiuchumi na kijamii.
Hivi Teargass, NairobiWalker na Reborn Ktb msanii gani wa music kutoka Kenya unahisi akija Tanzania fans wengi watafurika kwenda kumsikiliza
Nataka tu nijue kama Kenya ina influence kubwa kwa Tanzania kwenye tasnia ya burudani kama tu Tanzania ilivyo na influence kubwa Kenya 🤭
 
How old are you? Ama watanzania wote akili zao hushia kwa mziki?
Hili swali halihusiani na umri kabisa. Jibu swali punguza jazba, hiyo njia yako ya kukimbia mada ni uoga ni upumbavu wa hali ya juu, una behave kama mtoto mdogo. Ukiletewa topic ambayo unajua Kenya haiwezi shinda unaanza kutafuta excuse za kifala
 
Vumbistan kama kawaida

Image
 
Hili swali halihusiani na umri kabisa. Jibu swali punguza jazba, hiyo njia yako ya kukimbia mada ni uoga ni upumbavu wa hali ya juu, una behave kama mtoto mdogo. Ukiletewa topic ambayo unajua Kenya haiwezi shinda unaanza kutafuta excuse za kifala
No wonder you are dreaming to become fundi wa baiskeli.
 
Uzuri wangu ni kwamba hoja zangu are not driven by emotions like most of you here. Dar has few opportunities compared to Nairobi. They say numbers don't lie. Between Dar and Nairobi which city has more dollar millionaires? We can use that as a basis of argument
Are you including politicians in your millionaire list?😁
 
Back
Top Bottom