Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,168
- 33,328
Huyo hana bank account asikusumbue. Huwa anapanga foleni ili alipwe kama wale wazee wa mjengo.Watchman weka yako niweke yangu tumalize hii kesi.😅
Huyo hana bank account asikusumbue. Huwa anapanga foleni ili alipwe kama wale wazee wa mjengo.Watchman weka yako niweke yangu tumalize hii kesi.😅
Actually I don't care, hukuwa na haja ya kujibu kama unajua ni kitu ambacho kinaweza kufanya ukasirike. With that attitude of getting angry at small things, utazeeka mapemaI don’t care, I just want to inform you that I’m not your age mate. I’m 10yrs older than you.
Unasema anapanga line kama mpiga kura siku za Moi?🤣🤣Huyo hana bank account asikusumbue. Huwa anapanga foleni ili alipwe kama wale wazee wa mjengo.
Sawa Mchawi.
Eee. Asipopanga hapati mshahara.Unasema anapanga line kama mpiga kura siku za Moi?🤣🤣
yani niache kumwamini waziri aliesaini mikataba nikuamini ww mpumbavu 😂
Nyinyi huwa mnakula mabakio. That Ship came to Mombasa first.
View: https://x.com/Kenya_Ports/status/1969309178591142265?t=9O4nzwoAUTuRvCxGEjnf_w&s=19
Huna hata haja ya kubishana kuhusu hilo mkuu, nchi haiwezi hata kununua dawa za tuberculosis inapata wapi pesa ya kujenga uwanja? Road tu hata ya km 10 mpaka waombe mkopo ndo itakuwa uwanja?
Sema tu huna hela bawabu. Ukianzisha ligi hukua umejua yeye sii rika yako?We mbeba camera nenda utafute rika yako.