Skiza mzee na uweke feelings kando... wewe, Tz one na a couple of few others remaining tanzanians ndio nilinotice wenye mumejaribu kuwa na akili hapa...sisi kama na ilivyo desturi ya waafrica, let's say umebarikiwa unaweza nunua a normal sedan kama toyota fielder to a more luxurious one like a range rover vogue ama hata bentely, wewe na pesa zako utakubali kuingia kwenye BRT au kwenye commuter rail? Tafadhali weka hisia na uzalendo kando kwenye jibu lako.... alafu jiulize if 15_25% of dar residents can afford a car, would they use the brt option?