REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,528
Kusema ukweli ni Tanzania tuu ndo iko na potential SADC, tukiondoa hawa wahuni walioibaka Tanzania yetu.
Ramaphosani ni agent wa Wazungu mwenye mission mahususi ya kuiharibu ANC na amefanikiwa sana kuharibu nchi na kuiharibia ANC reputation yake.
Tanzania tunaendelea vizuri hata chini ya uongozi longolongochini ya huyu bibi. All in all, hili genge la Kikwete soon lita exit.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1967643947251212518
View: https://x.com/Our_DA/status/1967606395718488364