Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Sio michezo ya maskini tena, mbona congratulations ni nyingi 😂😂😂View attachment 3472779
Mbona tushawazoea nyie wangese
Sio michezo ya maskini tena, mbona congratulations ni nyingi 😂😂😂View attachment 3472779
Mbona tushawazoea nyie wangese
TBL market CAP yake sasa ni 2.12 Trillion na hapo imeshuka kwa 32.84% this year. Last year December it was 3.15 trillion ingekuwa juu ya CRDB kwenye hiyo list hapo.nadhani TBL inapaswa kuwepo pia! Kingine its wrong to mention EABL as Kenyan perse while it has branched in Tanzania and Uganda!
Hawa ni watu wa mchezo mmoja kama ilivyo tabia yao ya city moja tuuWhat sport is kenya good at View attachment 3472793
"Wanakunywa maziwa nchi nzima" 🚮View attachment 3472774🤣🤣🤣sio sisi ndio tumesema.Ni Mzalendo mwenzenu huyo kasema🙌...
Hata South Africa ni choka choka pia.Dah!, sasa nani hapa mwenye political emotions?
Lobito Atlantic railway ni cape gauge.
Investment ya kubadilisha cape gauge kuwa standard gauge kwenye nchi za Sadc, pesa hiyo hakuna. Zimbabwe, Zambia na Botswana wote choka mbaya, ndiyo maana nikasema hizo ni empty promises, we ain't stupid.
imagine 2025 maji bado yanauzwa kwenye toroli ndani ya singapore😂😂😂
View: https://x.com/propesatv/status/1967614001883607545?s=46
Kusema ukweli ni Tanzania tuu ndo iko na potential kubwa SADC, tukiondoa hawa wahuni walioibaka Tanzania yetu, tutakimbia haraka sana.Hata South Africa ni choka choka pia.
Lesotho, Eswatini, Namibia ni viuchumi Mchicha.