NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,633
Maokoto matupu mkuuu😎Naangalia Simba day hapa, 99% ya mashabiki uwanjani wamevaa jezi mpya za Simba msimu huu mpya na uwanja umejaa mashabiki zaidi ya elfu 60. 😂😂😂
Nb: bei ya jezi moja ni 45,000 Tsh.