Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Mpwimbe amekujibu vizuri sana, sina cha kuongeza, hili pia kuna mchungaji mmoja Mkenya aliwahi kulidokezea, akisema, mafisadi Kenya wanapeleka watoto wa maskini kufanya fujo na kupigwa risasi, huku watoto wao wakitulia majumbani Karen huko, wakiangalia kwenye TV (I'm paraphrasing).Sisi hatupost tu mtandaoni, Hadi kwa street tunaenda. Nyie endeleeni kujificha mtandaoni.