Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,674
- 107,110
Naskia wanataka kuingia Mombasa GOK inawabania!
Kumbe Bakhresa ni mwarabu. 🤣🤣🤣,ni raia wa taifa gani ?Kwani Tanzakundunians are Arabs ??
taarifa hio sijaisikia badoNaskia wanataka kuingia Mombasa GOK inawabania!
sasa hvi ananuswa makalio 😂😂😂😂
View: https://www.instagram.com/p/DOL6O3lDE3z/?igsh=MXU3bm1raTc2ZDFpcg==
mwanza wameitenga sana sijui hata ile passenger terminal imefikia wapi labda Geza Ulole anayo taarifa atuletee😂😂Dar na Zanzibar muda sio mrefu zitakuwa na miruko mara mbili ya kenya. Hapo Dodoma December inaanza. Mwanza inafuata
Na sisi tungekuwa na kiwanja kimoja kama jirani wa kaskazini number zetu zingekuwa juu sana hapo JNIA na Karume Airports tuu bila KIA number zingesoma 176Dar na Zanzibar muda sio mrefu zitakuwa na miruko mara mbili ya kenya. Hapo Dodoma December inaanza. Mwanza inafuata
sasa hvi ananuswa makalio 😂😂😂😂
View: https://www.instagram.com/p/DOL6O3lDE3z/?igsh=MXU3bm1raTc2ZDFpcg==
Ni nzuri saa hapa. Japo kuwa inaitwa Bi Titi na siyo Bibi Titi, alikuwa siyo bibi.
Wamekipa kifisadi . Hakitajenga kitu.mwanza wameitenga sana sijui hata ile passenger terminal imefikia wapi labda Geza Ulole anayo taarifa atuletee😂😂
tender alipewa papa mmoja anaitwa rostam
MKandarasi ni tapeli, Rostam.mwanza wameitenga sana sijui hata ile passenger terminal imefikia wapi labda Geza Ulole anayo taarifa atuletee😂😂
tender alipewa papa mmoja anaitwa rostam
Hayo majengo NHC ingeyaondoa na kuweka majengo ya ghorofa 20 kila moja ingepunguza sana vijana kuishi maeneo ya nje ya mji.