That's some nig**r shit right there mwaiofhawaiiWakati tunafukuza hizo niggaz mlituona wajinga, ona sasa wanvyo wavua nguo 🤣🤣
Mko hapa mmejaa kutupigia kelele badala ya kwenda kusaidia dada zenu ambao utu wao washatupa chooni , wanafanya chochote kwa sababu ya pesa, sababu ya wazungu!!
View: https://youtu.be/lxAMptdZlYY?si=Xb_y45lW6iAjgT1X
Just like I said. Tanga port is just receiving boats, the picture you have posted is full of boats.Tanga port .. 👇🏾View attachment 3458418View attachment 3458419tuonyeshe na wewe lamu port ikipokea punda na ngamia. 🤣🤣🤣🤣
Dah asee I remember sakata letu la sukari walileta mdogo, but as Country Tanzania tumeendelea kua nchi inayodili na matatizo yanayotishia usalama kimkakati zaidi.importation nyingine hio 😂😂😂😂
viwanda vyao vyote vimekufa
View: https://x.com/thestarkenya/status/1961140131471180128?s=46
Hawajui wanaitwa Matajiri mbona wanafeli 😢hakuna kitu ni dream yao zaidi ya kua wezi mbwa hawa 😂😂😂
View: https://x.com/thenairobitimez/status/1961080337989271680?s=46
TZ ina vision na ina watu wanafikiria na kufanya kazi.Dah asee I remember sakata letu la sukari walileta mdogo, but as Country Tanzania tumeendelea kua nchi inayodili na matatizo yanayotishia usalama kimkakati zaidi.
Tulikua na Upungufu wa Tani 100k - 200k kwa kua uzalishaji wa Ndani ulikua 300k mahitaji 400k
Sakata la Sukari enzi za Magufuli na utawala wa Samia hatua zilizochukuliwa.
1. Kupitia vibali vya uagizaji na kuipatia NFRA inunue ihidadhi na kugawa ya export.
2. Kumshawishi Bhakresa kujenga Bagamoyo Sugar kwa kumpatia ardhk kubwa bure na msaada ahitajio.
View: https://youtu.be/hdlhRwZwEw8?si=pIT2_BaWiT122OcL
View attachment 3458489
3. Ujenzi kiwanda Cha Mkulanzi Sugar
View: https://www.instagram.com/p/DNFlAviMtSn/?igsh=Z3MxeHNjb3Fhajhv
View: https://youtu.be/3nxs09FzvKU?si=duA6ux9dxr3T-cMI
Vimekamilika na Samia still kuna expansions za Viwanda existing
Kilombero to 270k Tones
View: https://youtu.be/d0WLj5Z2jCo?si=UjhFrg3FOjRlpgUr
Upanuzi Wa Kagera Sugar
Upanuzi wa Mtibwa Sugar etc
Kuna hii TARI ilitafiti mbegu mpya za miwa na kuzigawa.
Imagine one issue tulideal nayo strategically kimya kimya
Kutoka 320k Tones 2017
Mpaka 660k dah we about to hit Self Sufficiency zero Import
Kumbuka Sasa Demand haiangalii mahitaji tu bali inaangalia na RESERVE Demand baada ya ile sheria ya NFRA kuitaka iwe na RESERVE kama more than 100k Tones.
Kuna ******* wa North kazi kuimport kila kitu na kuturingia mzigo wa Tonnes, wakati sisi tupo tunawipe import with domestic production.
TANZANIA IS SOMETHING WANA in the surface tunaweza onekana siasa nyingi ila once issue ikitishia any security ya nchi wiping is only solution.
Bertin hapendi kuwakwaza, anawapamba lakini wanamchukia.Ni kama Bertin anafuatilia huu Uzi au ako na ID humu ndani. 🤣🤣🤣🤣
Hii ni port ama slum!!!Tanga port .. 👇🏾View attachment 3458418View attachment 3458419tuonyeshe na wewe lamu port ikipokea punda na ngamia. 🤣🤣🤣🤣
Ebu tuonyeshe mwenye alikuwa kwa njaa this year.Lakini kenya ndo sehemu ambako watu wanakufa kwa njaa kama kuku mwenye mdondo
Dah asee I remember sakata letu la sukari walileta mdogo, but as Country Tanzania tumeendelea kua nchi inayodili na matatizo yanayotishia usalama kimkakati zaidi.
Tulikua na Upungufu wa Tani 100k - 200k kwa kua uzalishaji wa Ndani ulikua 300k mahitaji 400k
Sakata la Sukari enzi za Magufuli na utawala wa Samia hatua zilizochukuliwa.
1. Kupitia vibali vya uagizaji na kuipatia NFRA inunue ihidadhi na kugawa ya export.
2. Kumshawishi Bhakresa kujenga Bagamoyo Sugar kwa kumpatia ardhk kubwa bure na msaada ahitajio.
View: https://youtu.be/hdlhRwZwEw8?si=pIT2_BaWiT122OcL
View attachment 3458489
3. Ujenzi kiwanda Cha Mkulanzi Sugar
View: https://www.instagram.com/p/DNFlAviMtSn/?igsh=Z3MxeHNjb3Fhajhv
View: https://youtu.be/3nxs09FzvKU?si=duA6ux9dxr3T-cMI
Vimekamilika na Samia still kuna expansions za Viwanda existing
Kilombero to 270k Tones
View: https://youtu.be/d0WLj5Z2jCo?si=UjhFrg3FOjRlpgUr
Upanuzi Wa Kagera Sugar
Upanuzi wa Mtibwa Sugar etc
Kuna hii TARI ilitafiti mbegu mpya za miwa na kuzigawa.
Imagine one issue tulideal nayo strategically kimya kimya
Kutoka 320k Tones 2017
Mpaka 660k dah we about to hit Self Sufficiency zero Import
Kumbuka Sasa Demand haiangalii mahitaji tu bali inaangalia na RESERVE Demand baada ya ile sheria ya NFRA kuitaka iwe na RESERVE kama more than 100k Tones.
Kuna ******* wa North kazi kuimport kila kitu na kuturingia mzigo wa Tonnes, wakati sisi tupo tunawipe import with domestic production.
TANZANIA IS SOMETHING WANA in the surface tunaweza onekana siasa nyingi ila once issue ikitishia any security ya nchi wiping is only solution.
Wapi skyline hapo?Upanga east skyline View attachment 3458481
Forex Scammer atabaki Tu kuwa scammer hata umpeleke wapi. You have now decided to respond to your own comment?😂😂😂Sio hatimaye, taa nyingi za barabarani zina camera.
Dar pia wapo,wanatumia bandari zote 2Rwanda na Burundi naona wanachukulia mzigo Tanga Port maake magari yao ni mengi sana huku Tanga hata cement
Brother sidhani,Ila wawekezaji wanakuja na mambo yao.
Na nyie mnaenda na ya kwenu, mnakutana mnazungumza.
Magu alipanic tu.
Alitakiwa kuwaita awakabe wazungumze.
Maana mikataba mingi aliyo-negotiate ilienda vizuri.
Leo kila mgodi unaokuja TZ, serikali inapata automatic hisa za 16%-20% bure.
Tunanunua dhahabu na tumeshaanza kuwafosi, wafanye refinery ya angalau 20% ya dhahabu nchini.
100%Brother sidhani,
Bagamoyo mzee wa Msoga na Genge lake litakua lilifanya umafia sana, Plus kule gesi.
Hukumbuki mzee alisema alikuta Gesi imechukuliwa asee hawezi itumia kuzalisha umeme freely ikabidi aende kuijenga JNHPP awe free na control, maana JNHPP ilifunika kila sources capacity, hivyo kuna fala akijifanya kuringishia kamtambo anaondolewa TANESCO.
Same kwa Bagamoyo port, ndio Maana mzee aliona asuke sheria kwanza.
Alianza na
The Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act, 2017 (Kuipa government full sovereign juu ya resources zote za nchi hivyo hata mtu umsainishe 99yrs lakini ukiona hainufaishi nchi unaweza irudisha anytime) yaani tuligeuza rasmali zote kua sawa na Sheria yetu ya Ardhi and more better
Na kuna hii
The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Renegotiation of Unconscionable Terms) Act, 2017
Hiyo ya Madini ilifanyiwa huku
Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act No. 7 of 2017
Ambayo ndio iligusia 16% non dilutable free carried interest
Pamoja na uwezo wa kuacquire up to 50% shares ikiwa kuna kulegeza kidogo kwenye taxes
Nadhani naweza jaza hapa unaweza ziandika ChatGPT ukapata kina.
Hizo sheria ni moja ya vitu vya thamani sana kwa hili taifa. Nilisikitika walipoenda Bungeni kujaribu kuzifuta kisa zinafanya kuwapa Waarabu, wawekezaji inakua ngumu (DP WORLD)
Yaani mpaka sasa TANZANIA ni only Africa country toughest kwenye kulinda nchi na kuweza kuhodhi rasmali.
Nakumbuka baada ya hizo sheria kupita aliweza kustop BAGAMOYO PORT, LNG PROJECT mpaka TPDC wareview kitalu cha Mnazi Bay Gas field, na hiyo Sheria ya tatu iliweza wasaidia TPDC kuongeza umliki hadi 40% wa Mnazi Gas field kutoka za 20%
Ilikua suala la Muda tu kunegotiate Bagamoyo port kama walivyomaliza na BARRICK tukawa na TWIGA MINERALS.
Nadhani wote tunamjua MZEE asingeweza kutubania dili za kunufaika.
Hope SAMIA HATAZICHANGE ASEE
Hii falsafa ya trickle down economics ambayo mtandao wameikumbatia ni mbovu sana kwa Tanzania. Hii ndiyo falsafa iliyoua middle class Marekani. Hii homelessness ya wamarekani ambayo wengi hapa mnapenda kuicheka, chimbuko lake ni hii trickle down economics.Mwinyi ana tofauti gani na hilo.
Amekodisha visiwa vyote Zanzibar. Amempa Bakhresa maeneo amejenga majumba (Fumbo town) anauzia Wazungu tu.
Wazanzibar wako wapi??
Wanapumulia bara tu.
Ndio hivyo mzee huwezi taka eti kukosoa eti Magufuli alipiga chini Bagamoyo port ikiwa masharti yalikua hayanufaishi nchi na tukisaini ndio nitoleee kabisa.100%
Nadhani sote tunakubali kuwa Bagamoyo Port and SEZ ni muhimu.
Hasa kutokana na jinsi nchi za Asian Tigers zilivyofanikiwa.
Shida kubwa ni aina ya DEAL tutakalopata.
Sio lazima uponde kila kitu, vingine pita kimya tu.Hii ni port ama slum!!!
Hii nchi yenu kila kitu ni disorder! Filthy.