ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ichoboy01 anaokota mapicha twitter Alafu wachawi wanaamini ati ako Nairobi😂😂🤣🤣
View: https://x.com/OGetembe/status/1959309151470760187
kazi yangu mm ni kukandamiza💉💉💉💉
ichoboy01 anaokota mapicha twitter Alafu wachawi wanaamini ati ako Nairobi😂😂🤣🤣
View: https://x.com/OGetembe/status/1959309151470760187
Because Tanzanian cities can't compete Kenyan cities.Usilazimishe battle ambayo haipo kaka. 🤣🤣🤣🤣. Sitoi nafasi ya kulinganisha vijiji zenu na cities za Tz ever again.
Tanzanians are just Primitive.Nobody eats baboon because they lack other food options. There's plenty of food, and for the Hadzabe community, it's part of their chosen lifestyle.Stop the ignorance and arrogance of wanting to dictate people's voluntary lifestyle choices.You’re shocked about baboons but not about Chinese eating dogs, turtles, or snakes. Fool.
Ila inaonekana wazi hapa Ustaarabu pia ZERO
SHITHOLE 😂hawa ndio wako busy wanashindana na tanzania 😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View attachment 3456543View attachment 3456544View attachment 3456545View attachment 3456546
Hayo maji ya kuuza??huu mji ukivuta hewa unavuta harufu ya mizoga na vinyesi ndio maana watu all the time wamevaa mask 😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View attachment 3456188View attachment 3456189View attachment 3456190
yap maji wanauza mji unashida ya kila aina 😂😂😂😂😂 alaf kuuza hvo maji sio nairobi tu hata mombasa na kisumu wanauza maji kwenye matoroliHayo maji ya kuuza??
hakuna cha sheria wala mama yake, huku sheria ni lazma uwe na pesa tu nothing else 😂Ila inaonekana wazi hapa Ustaarabu pia ZERO
Morogoro road ni kweli haina foleni kabisa. I guess mwendokasi zikiwa effective foleni itapungua.Lakin mawazo yanakuja. Mwendokasi za Phase 2 na phase 3 zikianza zitaondoa foleni.
Maana daladala kibao hazitakuwepo tena, itabaki foleni ndogo ya magari binafsi, bajaji na bodaboda. Bajaji na bodaboda bap zinaweza kupungua ikiwa mwendokasi itasimamiwa vzr.
Angalia Morogoro road, foleni zimebaki pale daladala zinapopakia na kushusha abiria, au pale machinga wanalifanyia kází Barabarani au sehemu zenye ujenzi kama KIMARA. Kwingine hakunaga foleni kiviile. Na hapo mwendokasi inasuasua
Unaua sisimizi na gobole? Matumizi mabaya ya silaha.
Hadi maji shida hawawezi tatua vitu basic, wananuka vipapa 😂 maana hata maji ya kuoshea kengele hawana.😂yap maji wanauza mji unashida ya kila aina 😂😂😂😂😂 alaf kuuza hvo maji sio nairobi tu hata mombasa na kisumu wanauza maji kwenye matoroli
The burden of proof of evidence is on you not me sorry mate.Okay, prove me wrong Kama wewe ni mwanaume kamili.
What's the meaning of primitiveTanzanians are just Primitive.
Nadhani hata wewe unashangaa wanasema huo mto ni mchafuHii Mikocheni ndio hua wanasema ni kama Kilimani. 🤣 🤣 🤣
![]()
![]()
Aisee these people are extremely dirty
15 floors buildings😅😅😅Takataka zenye hamna. I dare you to post 15 buildings with over 15 floors in city from Tanzania apart from Dar.
Primitive ni nyie mnaoishi na punda, ngombe, matakataka na mifuko ya vinyesi mjini halafu bado mnaona sawa tuu.Tanzanians are just Primitive.