Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo chuma ipo ndani ya jiji au nje ya jiji
wewe unashangaa hio imagine mtu anachimba kisima kwenye pedestrian walkways na hakuna mtu anajali 😂😂😂

IMG_8189.jpeg
IMG_8190.jpeg

IMG_8191.jpeg
 
ile nairobi river alioahidi ruto na pesa ikatoka ikaliwa akasema itakua sehemu nzuri ambayo mpaka samaki watavuliwa hapo ndio hii imebakia sehemu ya watu kula madawa ya kulevya na bangi 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

View attachment 3456133View attachment 3456134View attachment 3456135View attachment 3456136View attachment 3456137View attachment 3456138View attachment 3456139View attachment 3456140View attachment 3456141
This is poverty in real sense
 
imagine hapa bongo kuna assembler wa Howo na FAW order ni nyingi sana naona kama watazidiwa inabidi waongeze capacity kwa kweli
Kwa sasa order ni nyingi sana vile viwanda haviwezi himili , siku wanazindua kile Cha bagamoyo walikuwa wanaorder mkononi units 1000 na ilikuwa kipindi hizi agiza agiza za units 100 hazijaanza. Kwenye makaa ya mawe kampuni kibao zinachemka kutimiza order
 
wajenge kiwanda cha Yutong upesi sana sasa
 
Back
Top Bottom