babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,302
- 35,725
Wanapenda kulazimisha waonekane kuwa nchi yao ipo vizuri kumbe bado wanapokea chakula cha misaada. 😂😂😂Nilikudharau sana baada ya kukuona huko Nairaland unasajili Accounts zaidi ya 100 ili uonekane kuwa ni watu wengi. Hapa umesajili accounts zaidi ya 20. Ninayo proof. Na zote ni active kwenye jukwaa hili