[emoji53] [emoji53] [emoji53] we jamaa unaumwa kideri.
Hatuwezi fanya hivi mzee ktk majengo.[emoji51] ni kenya huwa mnafanya hivi???
unachukua height ya ghorofa (sio jengo) unagawa kwa idadi ya ghorofa utapata average floor height.
Twende kwa mifano:
Burj khalfa ni kama 828 meters ila ghorofa zimeishia kama 740 meters hivyo basi ukichukua 740 meter ukagawa kwa idadi ya ghorofa (163) utapata average floor height ni kama 4.5 meters!