ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
nani atasafiri ikiwa polisi wanaolinda amani wanauliwa kama kuku nani atakwenda kufanya tour?😀😀😀Were domestic tourist
nani atasafiri ikiwa polisi wanaolinda amani wanauliwa kama kuku nani atakwenda kufanya tour?😀😀😀Were domestic tourist
Weka Times Towers iwe 15 floors ama hata 10 floors ikiwezekana
Yani at a si dual....naunapayuka hapapicha nimweka hapo juu ndipo utaona tofaut ikwap
ukweli hautabadilika times ni 28 floors 😀😀😀Weka Times Towers iwe 15 floors ama hata 10 floors ikiwezekana
bado ubungo ina floor tatu ndugu itakua ya kipekee east and central africa wachina na wakorea wako mzigoni kaa mkao wa kula😀😀😀😀😀Yani at a si dual....naunapayuka hapa
Sisi mm ndaendanani atasafiri ikiwa polisi wanaolinda amani wanauliwa kama kuku nani atakwenda kufanya tour?😀😀😀
View attachment 663929
unaenda wapi wewe punga wa mombasa una sehemu ya kwenda wewe????😀😀 saa tatu usiku mushajifungia ndani kama kukuSisi mm ndaenda
Vitu tulifanya 2005 ndio mnaanza sai??bado ubungo inakusubiria floor tatu kwenda juu wachina na wakorea wako mzigoni usiku na mchana
highway ya ubungo mpaka chalinze 120km kazi imeanza na waneanza phase 1 tayari 6 lanes😀😀😀😀
alaf munakuja panua midomo yenu eti kenya kuna mega project nyingi kuliko tanzania au mulijua ni ile tz ya 90s
tuanze mm na wewe niko tayari😀😀😀😀Garisa iyo unaiona at a Dodoma ifiki ligi.kwa maendeleo
That looks like Nyali, Mombasa. Ndo maana siku zote tunawaambia Dar inaweza pambana tu na Mombasa. Nairobi ni moto wa kuotea mbali to that glorified village called DarPremier location, tunasubili povu upande wa pili?
mbona simpo sana!Jojo hesabu
unachukua height ya ghorofa (sio jengo) unagawa kwa idadi ya ghorofa utapata average floor height.
Twende kwa mifano:
Burj khalfa ni kama 828 meters ila ghorofa zimeishia kama 740 meters hivyo basi ukichukua 740 meter ukagawa kwa idadi ya ghorofa (163) utapata average floor height ni kama 4.5 meters!
Ulisahau pilisi wenu 15 waliuliwa Congonani atasafiri ikiwa polisi wanaolinda amani wanauliwa kama kuku nani atakwenda kufanya tour?😀😀😀
View attachment 663929
fly over ya kwanza kenya ilikua lini kumbuka usinidanganye nitakuumbua 😀😀😀😀Vitu tulifanya 2005 ndio mnaanza sai??
Maendeleo iko dar slum pekee naizo town zingine zenu ziko apibado ubungo ina floor tatu ndugu itakua ya kipekee east and central africa wachina na wakorea wako mzigoni kaa mkao wa kula😀😀😀😀😀
1960sfly over ya kwanza kenya ilikua lini kumbuka usinidanganye nitakuumbua 😀😀😀😀
sisi tuliwaruhusu toka mwanzo leteni nairobi mombasa na kisumu na bado hamuinhii ndani 1590km sqThat looks like Nyali, Mombasa. Ndo maana siku zote tunawaambia Dar inaweza pambana tu na Mombasa. Nairobi ni moto wa kuotea mbali to that glorified village called Dar
hii sio ile tz ya 90s wewe jaribu uone wala usipate shidaMaendeleo iko dar slum pekee naizo town zingine zenu ziko api