Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakiona vitu kama hivi wakenya wanaumia sana. Asikwambie mtu yeyote. Wanatamani wao wawe sisi. Lakini hawatuwezi. Wanaungana kutukana watu lakini sio kufanya business. Wakenya ni wajinga nambari moja duniani

1755334095918.png
 
Teargass huyu hapa anaitwa Rushaynah Kutoka Shinyanga vijijini ni mix ya Msukuma na Mwarabu. Wakenya mtakuwa mnakula kwa macho tu. Wanawake wa kenya sura mbaya kutokana na chakula kibaya

1755334375592.png
 
Teargass huyu anaitwa Jasinta Makwabe from Tanzania. Figure kama hizi huko Kenya mtaziona kwenye TV na kwenye picha kama hapa. Jamii ya wakenya ni kama Matha Karua na jamaa zake.

1755334763674.png
 
Teargass huyu hapa anaitwa Lulu Diva, huko kenya hupati wanawake wa shepu hizi. Kama unabisha weka hapa wawili tuone. Sura za wanawake wa kenya sinafanana na sura za babu zao.

1755335343744.png
 
Miaka 6 yote ya nini?
Kaka tupo na Ujenzi wa Dodoma - Tabora, Tabora - Isaka, Tabora - Kigoma, Isaka - Mwanza. Huu ujenzi wote unahitaji fedha na mambo mengine yanatakiwa yaendelee.
Tupo na ujenzi wa Grid ya maji ya kumwagilia mashamba kutoka Ziwa Tanganyika na ziwa victoria miradi hii yote ni mikubwa inahitaji fedha.

Vilevile ujenzi huu unaenda sambamba na ujenzi wa Dry ports na kushughulikia utulivu wa Eastern Congo. Mimi naona ni sawa tu. Miaka sita ni michache mno.
 
Teargass huyu hapa anaitwa Rushaynah Kutoka Shinyanga vijijini ni mix ya Msukuma na Mwarabu. Wakenya mtakuwa mnakula kwa macho tu. Wanawake wa kenya sura mbaya kutokana na chakula kibaya

View attachment 3442911
Sema mzee tuachane na hizi mbishe, too low.
Tanzania tuna vitu vizuri na vya msingi vya kupost humu, kupost hawa socialist sidhani kama ina manufaa yoyote humu.
Wote tunajua Tanzania kuna warembo wazuri wa kila aina kulinganisha na jirani mademu wamekomaa na kuwa na forehead kubwa kubwa. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom