Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

These people still live in medieval times. Watakuambia wananyorosha nchi.🤣🤣
1755280137480.png

modern times living
 
Kama tuliweza kujenga JNHEPP kwa hela yetu kwanini serikali ishindwe huu mradi ambao makisio yake yalikuwa USD 3bn. tuwekeze kidogokidogo in partnership with foreign investor through STAMICO in 5 years uwe up and running. economic return yake ni kubwa sana.
JHEPP kuna pesa ya mkopo pia.

Trilioni 6.5 parefu, kutumia own source pekee
 
Kama tuliweza kujenga JNHEPP kwa hela yetu kwanini serikali ishindwe huu mradi ambao makisio yake yalikuwa USD 3bn. tuwekeze kidogokidogo in partnership with foreign investor through STAMICO in 5 years uwe up and running. economic return yake ni kubwa sana.
Wanaweza kutumia hiyo deposits as leverage ya kupata loan ya ku finance SGR from Mtwara to Liganga and Mchuchuma...

Na ni plan ambayo ipo on pipeline kuhusu ujenzi wa hiyo reli na preliminary feasibility nadhani imefanyika
 
Hakuna penye imeandikwa 2.5M Kibera Slum dwellers in 200 settlements. The article was clearly written there are approximately 2.5M dwellers in 200 settlements in Nairobi. Now type that in your darling ChatGPT utuambie Inakuonyesha nini.
Sasa mkuu hao 2.5M slum dwellers ni wachache? Ukizingatia population ya wakazi wa Nairobi haifiki hata wakazi 5M? Kwahiyo ukipiga hesabu hapo unapata slum dwellers ni zaidi ya nusu ya population ya wakazi wa Nairobi, inawezekana hata wengi wenu tunao chat nao pia ni slum dwellers, hii haikubaliki na ni kinyume na haki za binadamu.
Screenshot_20250816_012325_Google.jpg
 
Naipori without filter 👇🏾
View: https://youtu.be/zLzQsyT8pxU?si=QaAaymRXRSa_tl9q.. 🤣🤣🤣🤣 Bertin kawavua chupi. Hii west inazidi posta 🤣🤣🤣 labda Posta ya Mtwara. Mikocheni is way better….

Mwenzako ameshangazwa na the kind of construction going on in Westlands alone lakini wewe uko hapa unakenua meno sababu umeona miti unadhani ni msituni. Hatutaki baboons Westlands please, be warned.
 
Back
Top Bottom