President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,013
- 93,379
Ni miaka 5 ya ujenzi Uvinza Tanzania - Musongati Burundi. Testing ni mwaka mmoja - Jumla miaka 6
Kaka. Na wewe fanya yako. Please tusipangiane, wewe sikupangii cha ku post. Samahani. Kama posts zangu zinakuumiza please ingnore me.Sema mzee tuachane na hizi mbishe, too low.
Tanzania tuna vitu vizuri na vya msingi vya kupost humu, kupost hawa socialist sidhani kama ina manufaa yoyote humu.
Wote tunajua Tanzania kuna warembo wazuri wa kila aina kulinganisha na jirani mademu wamekomaa na kuwa na forehead kubwa kubwa. 😂😂😂
Usisahau ni hub yausafirishaji wa punda 😆Lamu is a transhipment port and not a storage port. Containers zinashushwa zikiwekwa kwa meli ndogo ndogo na kupelekea ports ndogo ndogo kama Dar is slum port and Zanzibar port.
Ukali wa nini buda ndio elimu yenu ilipoishia hapo.Go ask your mother.
View: https://x.com/GuersonNyonkuru/status/1956370238129209426
View: https://x.com/GuersonNyonkuru/status/1956649911555899759
View: https://x.com/GuersonNyonkuru/status/1956652380755238966
MY TAKE
sikujua kama Wanyarwanda wanaonea wivu Waburundi hivi?
We are eliminating slums one at a go.
This is Thika Affordable Housing right in the middle of the slum.
View attachment 3442890
Sisi tunachojua hiyo ni special port ya ngamia, mkaa na kondoo.Dah bro umenichekesha hapa😂😂😂😂😂.
Eti ngamia na mkaa!
View: https://x.com/GuersonNyonkuru/status/1956370238129209426
View: https://x.com/GuersonNyonkuru/status/1956649911555899759
View: https://x.com/GuersonNyonkuru/status/1956652380755238966
MY TAKE
sikujua kama Wanyarwanda wanaonea wivu Waburundi hivi?
Kenyans love football. This was Angola Vs DRC yesterday.
View: https://x.com/smileycherry2/status/1956221757616218135
Hii inafikirisha sana. Yaani it looks kabisa tunaweza tuna mifano kede kedeKama tuliweza kujenga JNHEPP kwa hela yetu kwanini serikali ishindwe huu mradi ambao makisio yake yalikuwa USD 3bn. tuwekeze kidogokidogo in partnership with foreign investor through STAMICO in 5 years uwe up and running. economic return yake ni kubwa sana.
Pesa gani mzee wakati Donors wote walikataa kabisa juu ya uharibifu wa mazingira.JHEPP kuna pesa ya mkopo pia.
Trilioni 6.5 parefu, kutumia own source pekee
Rwanda na Burundi wana beef.Ni kweli niliwahi kuishi kwenye nchi zote mbili wanyarwanda wanajisikia sana ila walikuwa wanatukuta tunakunywa Prims bia za kwao wao wanachangia moja ikiisha wananunua nyingine Mtanzania lete kama tulivyo ni raundi hizo za watu sita wakawa wanatushangaa sana kuwa hatuchangii bia
Sijasema donors. Ni mkopo, tena nadhani ni commercial.Pesa gani mzee wakati Donors wote walikataa kabisa juu ya uharibifu wa mazingira.
Plus check tulivyopigwa madongo sana kipindi tunauanzisha.
Hamna Pesa ya Donors, hakuna Donor anaweza toa $1-2bn Africa kimya, huku wewe una mkandarasi from Egypt yaani kila kitu unaamua utakavyo.
Tukisema Donor eti atapewa Rasmali ya nchi kufidia. Haiwezekani kumbuka kuna 2 laws zinafanya ushindwe kuhodhi.
1. Land Law
2. Permanent Sovereign on natural resources ya 2017 (inafanya hata upewe mgodi mzima ni kazi bure akitokea Raisi mwingine unanyang'anywa, only Government have sovereign juu ya rasmali)
Kuna na hii sheria ya mwaka 2017
Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re-negotiation of Unconscionable Terms) Act, 2017
Ndio ilifanya hadi DP WORLD eti walitaka kuipindisha Bungeni
Ndio nilianza kuchukia machawa wote. Seriously unaenda Bungeni eti kubadili hizo sheria zote 2 za 2017 kisa tu DP WORLD.
Thank God hawakufanikiwa.
So hakuna anayeweza toa $1bn to up huku umemkazia kila kona asee.
Check china alisema $1bn ila ni kwa Tazara.