Sijasema donors. Ni mkopo, tena nadhani ni commercial.
China $1b siyo mkopo. Anakodi TAZRA kwa miaka 27, baada ya kuboresha kwa kila kitu chake kwa miaka 3.
Still mzee, I think unachanganya I believe JNHPP ni full pesa za Ndani, sababu huo mkoponungesemwa, ila mara nyingi mikopo mikubwa lazima waitolee ufafanuzi.
Usione eti $3bn kubwa kaka. Kumbuka Mradi umeanza 2019 umekamilika 2025, miaka 6. Na kwenye hiyo miaka 6 makusanyo ya mwezi TRA 3trilion, mwezi tu,
Ukitenga hata 100bn kila Mwezi kutoka kwenye 3trilion za mwezi.
Miezi 12, Tsh 1.2 Trillion, miaka 6
Tsh 7.2 Trillion. Bwawa hili hapa
Usidharau hii nchi, Ndio Maana Magufuli alisema nchi ni Tajiri tunaweza fanya maendeleo kwa pesa za ndani, sema upeo mdogo wa viongozi.
Yaani hata kufikisha njia 6 Dar Dodoma hakuna cha PPT
si makadirio hua hata $3bn
Ujenzi miaka 10 even miaka 7.
Same models miaka 10, unatenga hata Tsh 50bn kutoka Unazokusanya Tsh 3 Trillion kwa mwezi.
Kwa Mwaka 600bn miaka 10, Tsh 6 barabara hii hapa.
Kuliko ukope $3bn alafu unalipa miaka 30 si upuuzi.
Akili ndogo tu vitu vinafanikiwa