Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heb twende kwenye ukweli, naona unafaa kupata elimu kuhusu Tanzania, There are 3 largest industrial parks coming up in Pwani Region alone, one of them is SINOTAN INDUSTRIAL PARK the largest in the region (Make google your friend). There are several car assembling plants in Pwani region.
Pwani has many industries than any other region in Tanzania.

Sahii tunavyoongea kibaha alone iko na idadi kubwa ya viwanda vinavyotoshana na Nairobi nzima. Hiyo Mombasa ni Tanga iliyochangamka. 🤣🤣🤣🤣
Their is Kilimanjaro industrial park kigamboni. Under GSM
 
Lakini Simba kwa miaka 4 haijawahi kuishia makundi na unapolinganisha ubora wa club Africa lazima hizo klabu zicheze na timu nyingine za Africa ndio uweze kulinganisha na kuzipa rank. ila kama utachukulia mafanikio ya ligi basi itatupa klabu bora kwa nchi husika tuu na sio Africa as a whole.
Umesahau UD Songo ya Mocambique ilitutoa hatua za awali? Umesahau msimu uliopita hatukuweza hata kufuzu champions league? Ranks za CAF hazina uhalisia na ndiyo mana Tp Mazembe unamkuta kwenye top ten licha ya kupotea mda mrefu, ndiyo mana zamalek yupo juu ya pyramids licha ya ubora wa pyramids kwa ss hapa Africa, CAF wanatumia takwimu za miaka mitano which is irrelevant.
 
Uko na kichwa mzuri wewe. Ama wewe ndio unaingiza bangi Namanga? 😂 😂

Uliuliza giza imetoka wapi Nairobi, nikakuonyesha New York Central Park pia ni giza. Parks and green spaces have minimal lighting, but bongoslum wouldn't know because you don't have any.

Ingia hapa hospitali ya kichaa. Nitakulipia.
View attachment 3441757
Aliye uliza giza ni Teargass ndugu yako. Muulize. Lakini nashukuru kwa kuifananisha Dar na New York.
 
Mkuu rank za CAF hazina uhalisia, je ni kweli Simba tunaizidi Yanga kwa ubora kwa sasa?
Ligi ya ndani haikupi wewe ubora Africa itakupa ubora wa hapa ndani tuu maana unashindana na timu za ndani. Kama Yanga ni bora kuliko Simba kwa kuangalia ligi ya ndani je utaweza kuniambia kuwa Mlandege ambaye ni bingwa wa Zanzibar ni bora kuliko Simba pia? Au bingwa wa Somalia, South Sudan au shelisheli ni bora kuliko Singida Big Stars au Azam?
 
Huyo huwa ni zero kama hizo zero kwenye Id yake.
TZ unaweza kuwa na pesa ila usilete vurugu kabisa, kwasababu unaweza kuamka huna kitu.

Manji alikuwa untouchable ila alikufa akiwa mpweke sana na kuzikwa ufukweni huko Marekani.

Kenya ukiwa na pesa, unatamba uwezavyo.

Wanaigeria,Wasomali wameteka mpaka Ikulu.
 
Screenshot_20250602-111529.png

Same here,huu uchafu huwezi kukuuta TZ
 
Ligi ya ndani haikupi wewe ubora Africa itakupa ubora wa hapa ndani tuu maana unashindana na timu za ndani. Kama Yanga ni bora kuliko Simba kwa kuangalia ligi ya ndani je utaweza kuniambia kuwa Mlandege ambaye ni bingwa wa Zanzibar ni bora kuliko Simba pia? Au bingwa wa Somalia, South Sudan au shelisheli ni bora kuliko Singida Big Stars au Azam?
Yanga hizo point kazipata misimu miwili tu,na kama angefanikiwa kuingia robo msimu uliopita angekusanya point 12
 
Ficha uchi watchman. 😂 😂
If we started posting the apartments being sold in Nairobi, nothing else would be posted here for a long time. Tukianza leo tutamaliza November.
And 95% of them are better and cheaper than whatever you've posted here.
On top of that, you get to live in the green city in the sun, not some central Africa-like bottom of the barrel, vumbistan bongolala.

I still can't figure out who in their right mind would want to live in Dar slum.
The only difference between Bangui and Daruslam is that I can spell Bangui.

Inject with this video again. Na uendelee kupost ujinga ujue sindano yako bado inachemka 😂😂

View: https://www.youtube.com/watch?v=6skh1_il_7I&pp=ygUNa2FyZW4gbmFpcm9iaQ%3D%3D

Kwahiyo unataka kulinganisha matakata ya porini huko Naipori vs Oyster bay.? 🤣🤣🤣🤣 mtu anaeishi kando ya bahari + it’s 2-3 km from the city center alingane na mpumbavu wa Karen in the middle of no where (the so called Karen)? Hebu toa tongo tongo. 👇🏾
IMG_0430.jpeg
IMG_0427.jpeg
IMG_0426.jpeg
Appartmet ya Oyster bay it’s supposed to be 4 times expensive than those ones in Karen due to their location. Usilinganishe machaka huko kwenu na miji iliyoendelea pumbavu. 🤣🤣🤣
 
Ficha uchi watchman. 😂 😂
If we started posting the apartments being sold in Nairobi, nothing else would be posted here for a long time. Tukianza leo tutamaliza November.
And 95% of them are better and cheaper than whatever you've posted here.
On top of that, you get to live in the green city in the sun, not some central Africa-like bottom of the barrel, vumbistan bongolala.

I still can't figure out who in their right mind would want to live in Dar slum.
The only difference between Bangui and Daruslam is that I can spell Bangui.

Inject with this video again. Na uendelee kupost ujinga ujue sindano yako bado inachemka 😂😂

View: https://www.youtube.com/watch?v=6skh1_il_7I&pp=ygUNa2FyZW4gbmFpcm9iaQ%3D%3D

punguza ushamba nani ananunua hO appartments zaidi ya politicians na wazungu kutoka nje au big investors ww hujiulizi kwann kibera alone ina watu million 3 what about other 99 slums ???

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom