ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Tanzania tulisha toka huko. Football inaoneshwa ndani ya basi.Kenyans genuinely love football.
View attachment 3441506
Mkuu rank za CAF hazina uhalisia, je ni kweli Simba tunaizidi Yanga kwa ubora kwa sasa?IFFHS ndio kitu gani hicho? Wanasimamia michezo gani? Hizo rank unazozikataa za CAF ndio za FIFA
Pitia hapa acha uzembe
![]()
Inside FIFA
The official site of the international governing body of football with news, national associations, competitions, results, fixtures, development, organisation, world rankings, statistics, the International Football Association Board, history, laws of the game, futsal, publications, downloads...inside.fifa.com
Brother ubora upi unataka? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Format zipo zimewekwa siyo hisia. Inaonekana wewe ni mgeni wa football. Acha kufikiria mpira kwa hisia.Mkuu rank za CAF hazina uhalisia, je ni kweli Simba tunaizidi Yanga kwa ubora kwa sasa?
Mkuu siyo kweli unachosema, viwanja vingi vya Africa havijulikani, ni viwanja vichache sana vyenye majina makubwa, kwa East Africa ni Benjamin Mkapa pekee yenye jina kubwa ukilinganisha na viwanja vingine vya East and Central Africa, huo ndiyo ukweli mchungu.Na tukiwaambia wakenya hawafuatilii Tanzania mnapinga. Kama national stadium ya Tanzania pekee ndio hawajui, do you think wanajua hata Tanzanian capital city kweli?
Kule Vumbistan hadi mtoto wa Chekechea anajua every MCAs in Kenya.
You expect me to read all these nonsense that you have written?Mkuu siyo kweli unachosema, viwanja vingi vya Africa havijulikani, ni viwanja vichache sana vyenye majina makubwa, kwa East Africa ni Benjamin Mkapa pekee yenye jina kubwa ukilinganisha na viwanja vingine vya East and Central Africa, huo ndiyo ukweli mchungu.
Hoja yako ya kusema wakenya hawafuatilii mambo ya Tanzania haina mashiko na sijaelewa unataka kumaanisha nini, ikiwa ni juzi tu hapa wakenya mmeandamana nchi nzima kupinga sheria iliyowekwa Tanzania kulinda ajira za raia wake.
In a bird eye view, ni Kenya na wakenya kwa ujumla ndiyo wanafuatilia zaidi Tanzania kuliko Tanzania na watanzania wanaoifuatilia Kenya, hii ni fact na ndiyo mana hata wewe upo humu jamiiforums ambayo ni platform ya Tanzania na hujawahi kukosa kuchangia hata siku moja na hufikirii kukosa kutumia jamiiforums ya watanzania.
Giza tororo.
Samahani kama nimekuudhi nilikuwa nakuweka sawa ili usipotoshe ilihali ukweli unaujua.You expect me to read all these nonsense that you have written?
Tumeuliza swali utuoneshe huko Kundustan unaleta porojo.Giza tororo.
ACha kutupigia kelele na Giza.Tumeuliza swali utuoneshe huko Kundustan unaleta porojo.
Kwikwikwikwikwi. Unachekesha kweli.
Kwani siku hizi Westlands ni CBD na hatujui?Kwikwikwikwikwi. Unachekesha kweli.
Kwanza nimekupatia picha 20KM from CBD wewe umeleta picha za CBD.
Pili umeleta horizontal photo mimi nilikuletea eagle eye photo
Tatu hebu tuambie hapa kwenye red umeme ulikuwa umekatika? Jibu maswali yangu yote matatu
View attachment 3441580
Endelea kulalamika.Kwikwikwikwikwi. Unachekesha kweli.
Kwanza nimekupatia picha 20KM from CBD wewe umeleta picha za CBD.
Pili umeleta horizontal photo mimi nilikuletea eagle eye shot
Tatu hebu tuambie hapa kwenye red umeme ulikuwa umekatika? Jibu maswali yangu yote matatu
View attachment 3441580