Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa inaizidi Dar wacha kutaja vijiji chakavu humu..., ndio maana omba omba, vijakazi kutoka Tanzania wamejazana huku.., kuna hela, middle class population ni kubwa.., Tanzania Dar ndio jiji pekee la watu kukimbilia kutafuta..,

CFAO Assembly line, Mombasa
View attachment 3432035

View attachment 3432036
View attachment 3432038

AVA Assembly line Mombasa
View attachment 3432040
View attachment 3432041
View attachment 3432043

Mombasa fixing Tanzanian boats.., among others..
View attachment 3432062

Mombasa
View attachment 3432063
View attachment 3432064
View attachment 3432071
View attachment 3432073
Na sisi tukileta viwanda vya mkoa wa Pwani pekee server za Jamii Forums zitajaa hapa
 
Heb twende kwenye ukweli, naona unafaa kupata elimu kuhusu Tanzania, There are 3 largest industrial parks coming up in Pwani Region alone, one of them is SINOTAN INDUSTRIAL PARK the largest in the region (Make google your friend). There are several car assembling plants in Pwani region.
Pwani has many industries than any other region in Tanzania.

Sahii tunavyoongea kibaha alone iko na idadi kubwa ya viwanda vinavyotoshana na Nairobi nzima. Hiyo Mombasa ni Tanga iliyochangamka. 🤣🤣🤣🤣
Ndio maana Mombasa ina combine Dar plus pwani and other vijijini kwa pamoja..., walishafika na bado wanaendelea kuongezea., fikisheni Pato ya port zenu zote combined kule pwani to level with Mombasa kwanza Kisha uje.., mambo ya "tuna" na "tuta" Koma.., ngoja yaishe..,
 
Ndio maana Mombasa ina combine Dar plus pwani and other vijijini kwa pamoja..., walishafika na bado wanaendelea kuongezea., fikisheni Pato ya port zenu zote combined to level with Mombasa kwanza Kisha uje.., mambo ya "tuna" na "tuta" Koma.., ngoja yaishe..,
Mombasa inaweza kuwa relevant ikishindana na Pwani labda katika sector ya bandari. Forget about Dar. Dar ni taifa kubwa. 🤣🤣🤣 we Lia Jamba ila ukweli Ndio huo. Arusha is a fare comparison to Mombasa.
 
Mombasa inaweza kuwa relevant ikishindana na Pwani labda katika sector ya bandari. Forget about Dar. Dar ni taifa kubwa. 🤣🤣🤣 we Lia Jamba ila ukweli Ndio huo. Arusha is a fare comparison to Mombasa.
Ukubwa wa Dar ni idadi ya nyinyi vijakazi na uswazi zenu covering 80% plus ya 1600sq km., .., Dar yenyewe ni ndogo., 20% or less of the whole sq km., ama utabisha?.., 🤣🤣🤣🤣🤣.,
 
Ni Rais kunyaland kupata rais mwenye asili ya Somalia kuliko kunyaland kupata rais kutoka pwani na jaluo.. 😂😂😂
Screenshot_20250805-123337.png

Kule pwani hawataki kuitwa wakunya,walipojaribu kudai haki yao walitupwa jela
 
Ukubwa wa Dar ni nyinyi vijakazi na uswazi zenu covering 80% plus ya 1600sq km., .., Dar yenyewe ni ndogo., 20% or less of the whole sq km., ama utabisha?.., 🤣🤣🤣🤣🤣.,
Sasa hiyo hiyo 20% of well developed Dar you claim it to be ni bora na ndio anayoitoa jasho Naipori sahii. 🤣🤣🤣. Imagine tuendendeleze tena 10% huu Uzi utafungwa mana wote mtakimbia humu.
 
Kauli yangu inasimama pale pale sio gari zote zinakuwa semi-assembled.
Kuwepo kwa hizo kampuni haku justify unachokieleza hapa.
Kuna gari nyingi sana Kila kitu huundiwa pale pale sio tu Toyota Kuna kampuni zingine mathalan Rolls Royce.
Leo umebadilisha, imekua semi-assembly 🤣🤣 Semi-assembly means built by both robots and humans. Yani the assembly process is not fully automated. Toyota wanafanya both automated and semi assembly.

Eti kila kitu inafanywa pale pale, hivi hata hujui engines za Rolls Royce hua zinatengenezwa na BMW then zinatumwa kwa Rolls Royce.
Your knowledge of car industry is very shallow.
 
Leo umebadilisha, imekua semi-assembly 🤣🤣 Semi-assembly means built by both robots and humans. Yani the assembly process is not fully automated. Toyota wanafanya both automated and semi assembly.

Eti kila kitu inafanywa pale pale, hivi hata hujui engines za Rolls Royce hua zinatengenezwa na BMW then zinatumwa kwa Rolls Royce.
Your knowledge of car industry is very shallow.
Nishamalizana na wewe we zunguka zunguka weeh.
Mkiwa na kiwanda Cha kuunda magari kuanzia engine,chassis na gearbox ndio uniite.
Na naona unachanganya semi assembly na semi-automated assembly pole sana.
Wacha niwache huu mjadala nijadili vya maana.
Mkifungua manufacturing industry hapo Kenya ya magari mkianza kusuka na engine ndio uniite.
 
Mbona unavusha mada!?
We ni taahira!?
😂😂😂😂Wewe umesema kuwa gari zote zinakuwa assembled we ni kichaa!?
Katika manufacturing inafanyika semi-assemblying sio total assembly.
Unachokifanya wewe Kenya na wanachofanya Toyota ni vitu viwili tofauti.
Je wewe Kenya unasuka engine?
Je wewe Kenya unasuka gearbox na chassis?
Mbugila tope hii.
Toyota wana assembly plant kubwa sana ya Toyota Hilux in Durban, South Africa. Lakini engines hazitengenezwi South Africa. 😄 Bongolala mambo ya magari huwezani nayo.
 
Leo umebadilisha, imekua semi-assembly 🤣🤣 Semi-assembly means built by both robots and humans. Yani the assembly process is not fully automated. Toyota wanafanya both automated and semi assembly.

Eti kila kitu inafanywa pale pale, hivi hata hujui engines za Rolls Royce hua zinatengenezwa na BMW then zinatumwa kwa Rolls Royce.
Your knowledge of car industry is very shallow.



1. Semi-Assembly
•Meaning: A partially completed product — some components are already put together, but it is not yet a finished product.
•Purpose: Acts as an intermediate step in manufacturing before final assembly.
•Where it happens: In the production process, often before the final assembly line.
•Example:
oA car dashboard with wiring and instruments installed but not yet mounted in the vehicle.
oA laptop motherboard with some chips installed but no casing or screen.
2. Assembly
•Meaning: The process of putting together all components (including semi-assemblies) to make a complete finished product.
•Purpose: To create a final product ready for sale or use.
•Where it happens: In the final production stage before packaging and delivery.
•Example:
oAssembling the entire car from the body, engine, and dashboard.
oPutting together a complete laptop from the motherboard, keyboard, screen, and casing.
In short:
•Semi-assembly = the stage or unit partway toward a finished product.
•Assembly = the process of combining all parts (including semi-assemblies) into the final product.
 
Context is very important, in this case, context is assembling of cars not the word assembly in general. Kwani huko bongolala kila mtu ni primary school dropout.




1. Semi-Assembly​

  • Meaning: A partially completed product — some components are already put together, but it is not yet a finished product.
  • Purpose: Acts as an intermediate step in manufacturing before final assembly.
  • Where it happens: In the production process, often before the final assembly line.
  • Example:
    • A car dashboard with wiring and instruments installed but not yet mounted in the vehicle.
    • A laptop motherboard with some chips installed but no casing or screen.


2. Assembly


  • Meaning: The process of putting together all components (including semi-assemblies) to make a complete finished product.
  • Purpose: To create a final product ready for sale or use.
  • Where it happens: In the final production stage before packaging and delivery.
  • Example:
    • Assembling the entire car from the body, engine, and dashboard.
    • Putting together a complete laptop from the motherboard, keyboard, screen, and casing.


In short:​

  • Semi-assembly = the stage or unit partway toward a finished product.
  • Assembly = the process of combining all parts (including semi-assemblies) into the final product.


Elimu zenu za kuokoteza
 
Context is very important, in this case, context is assembling of cars not the word assembly in general. Kwani huko bongolala kila mtu ni primary school dropout.
Tuko kwenye context kwamba semi assembly inakuwa inafanywa na robots plus human🤣🤣🤣🤣
Nyinyi ni maandazi
 
Back
Top Bottom