President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,373
Kwikwikwikwikwi. Wakenya bhana
So, those are Kenyans, Somalis, Refugees, Investors or expats??If it’s a Somali event, why not?.. it’s honoring their roots, same way we Kenyans ( American citizens) wave Kenyan flags during Rugby sevens in Vegas in support of our roots ( that includes our American born kids who don’t even speak any Kenyan language).
Lazima tu ungepinga.Huyo jamaa ni Mrundi
CAF bado kuna shida kubwa sana yani sisi africa sijui kwann tupo hviHuwezi ukatumia points za miaka minne iliyopita ku rank ubora wa timu mwaka huu ni ujinga.
Even in the Kenyan villages hutawaipata unga za kupimwa. Tanzania bado iko backwards sana.Haya Ndio maisha yako, wacha kujifanya eti hujawahi ona unga ukipimwa 🤣🤣🤣 imagine a village boy saying this in front of people. 🤣🤣🤣🤣
View: https://vm.tiktok.com/ZNdQ7Bu7X/ kunyan wengi hawaijui Tanzania zaidi ya kukaririshwa,wengi wanadai hapo ni south africa,baada ya kuambiwa hapo ni mkapa stadium nyuso zimewashuka 😂😂
ndio kwani unafkiri ni mbali sana bro ni kama 500 kmMmmh hii nauli mbona sijaelewa!?
Yani kutoka Dar hadi Mombasa ni 50k!?
Wangese awafuatilii TZ kiundani,mnaifuatilia kwa kukaririshwa thus y mkija kuona TZ ilivyo vijuso vinawashuka maku nyie,kunyan BlietzKrieg juzi alidai eti binafsi hawezi kununua kiwanja dar eti tu yote ni uswazi,acha nicheke peke yangu 😂,bwege pesa ya kununua kiwanja chanika tu hanaNa tukiwaambia wakenya hawafuatilii Tanzania mnapinga. Kama national stadium ya Tanzania pekee ndio hawajui, do you think wanajua hata Tanzanian capital city kweli?
Kule Vumbistan hadi mtoto wa Chekechea anajua every MCAs in Kenya.
Am done mie sio zombie wa CCM najua nachoongea.Bado hujamaliza utamaliza 2030.
Kutokea Dar au Tanga?Mombasa ni karibu sana, hazifiki hata km 600
Wakenya hawafuatilii Tanzania. Hizo story zingine jiekee.Wangese awafuatilii TZ kiundani,mnaifuatilia kwa kukaririshwa thus y mkija kuona TZ ilivyo vijuso vinawashuka maku nyie,kunyan BlietzKrieg juzi alidai eti binafsi hawezi kununua kiwanja dar eti tu yote ni uswazi,acha nicheke peke yangu 😂,bwege pesa ya kununua kiwanja chanika tu hana
Basi soon nitaitembelea Mombasa kama ni hivyo.ndio kwani unafkiri ni mbali sana bro ni kama 500 km
Kenyans invest heavily in government bonds, stock market and MMF's. Hio ndio uzuri ya kuenda shule na sio kua primary school dropouts kama jirani.
View: https://x.com/MihrThakar/status/1955669059443265805