Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Who the hell is you ?โ€ฆ wewe ni Mgeni hapa ama wewe ni alter ego ya Venus Starโ€ฆ ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃโ€ฆ..
Anyways, if you comprehend English well , you should not have a problem with what I posted since it was a direct response to a similar post about Kenyan matchesโ€ฆ capeesh!
Hadi mtoto wa kike amejiridhisha kama weww ni mpumbavu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nadhani ingekua busara kukaa kimyaa bwana Mwaisa. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Konza City coming up nicely
FB_IMG_1754780434743.jpg
 
Money is being deducted from their salaries then channelled to the bank that Ruto owns to fund housing program then houses sold at Market prices with profit accruing to Ruto's owned bank. What an ingenious way to still from a bunch of stupid people
Mkenya siku zote ni Mpumbavu! Usiogopeshwe na facade ya majigambo!
 
hamza hawezi wala kagoma hawezi the only one can play no 6 ni dickson job
Shida yako ww naye Umejawa na Uyanga sana.
Mechi ya Leo ilimuhitaji Kagoma kwa Vyovyote vile.
Hakuna Mchezaji wa Simba ww utamkubari hata post zako humu Ikihusisha Michezo ni Uyanga
Kuna muda Unajaribu Kuipa Ukubwa Yanga Hata Haiustahili kabisa
 
Shida yako ww naye Umejawa na Uyanga sana.
Mechi ya Leo ilimuhitaji Kagoma kwa Vyovyote vile.
Hakuna Mchezaji wa Simba ww utamkubari hata post zako humu Ikihusisha Michezo ni Uyanga
Kuna muda Unajaribu Kuipa Ukubwa Yanga Hata Haiustahili kabisa
Namba 6, siyo lazima atoke Yanga.

Kuna Nashon, Mtasingwa, Kagoma.

Sasa Morocco anaona kumchezesha Hamza kama namba 6, ambaye kiuhalisia ni beki wa kati ndio akili.

Morocco ni kocha wa ovyo.

Aliwahi kukosana na Job kwa kumlazimisha acheze Beki wa kulia, wakati Job ni beki wa kati.

Aliwahi kumchezesha Kibabage kama Winga wakati Kibabage ni Beki wa kushoto.

Morocco siyo kocha ni mhuni tu.

Hata Mzize alimwita baada ya kelele za watu.

Anaita wachezaji hana hata SUB, akishaweka wachezaji 11 amemaliza.
 
Back
Top Bottom