Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida yako ww naye Umejawa na Uyanga sana.
Mechi ya Leo ilimuhitaji Kagoma kwa Vyovyote vile.
Hakuna Mchezaji wa Simba ww utamkubari hata post zako humu Ikihusisha Michezo ni Uyanga
Kuna muda Unajaribu Kuipa Ukubwa Yanga Hata Haiustahili kabisa
Kagoma asingecheza yupo na Yellow card mbili. Ukiwa na Yellow cards mbili. Huchezi mchezo mmoja.
 
Namba 6, siyo lazima atoke Yanga.

Kuna Nashon, Mtasingwa, Kagoma.

Sasa Morocco anaona kumchezesha Hamza kama namba 6, ambaye kiuhalisia ni beki wa kati ndio akili.

Morocco ni kocha wa ovyo.

Aliwahi kukosana na Job kwa kumlazimisha acheze Beki wa kulia, wakati Job ni beki wa kati.

Aliwahi kumchezesha Kibabage kama Winga wakati Kibabage ni Beki wa kushoto.

Morocco siyo kocha ni mhuni tu.

Hata Mzize alimwita baada ya kelele za watu.

Anaita wachezaji hana hata SUB, akishaweka wachezaji 11 amemaliza.
Sijui kwanini hajamuita Kibu. Kuna wakati alimuacha Kapombe. Kila namba inatakiwa iwe na watu wawili.
 
Kila mtu acheze mechi zake 😁
Acheni kupea Africa aibu ndogo ndogo.

1000041309.jpg
 
Does any of those port you've mentioned have a quay length of 1200 meters? Tanga haina hata STS Gantry crane hata moja.
Lamu has a 3 berths with Quay Length of 1200m

Mtwara has 2 berths with Quay length of 685meters

Tanga is smaller than Mtwara with 2 berth Quay of 450m

Mtwara in Ship to Shore Crane moja

Tanga is still undergoing major expansion kupokea meli za mafuta

Mtwara will get a another new berth that will be used specfic for Coal handling

Mmetangulia kwa Lamu kuwa na 400m per berth expect Bagamoyo to do that soon it is poised to have bigger berths than Dar or Mtwara

Si unaona SGR mlitangulia ila yetu ni bora zaidi
 
Shida yako ww naye Umejawa na Uyanga sana.
Mechi ya Leo ilimuhitaji Kagoma kwa Vyovyote vile.
Hakuna Mchezaji wa Simba ww utamkubari hata post zako humu Ikihusisha Michezo ni Uyanga
Kuna muda Unajaribu Kuipa Ukubwa Yanga Hata Haiustahili kabisa
😂😂😂😂😂 shida yetu sisi hatupendi ukweli ila kagoma ni mchezaji wa kawaida sana tena ni no 6 wale wakizamani wakuingia uvunguni muda wote

no6 wa kisasa mtazame mtu kama duke abuya au aucho au camara yule wa barkane
 
Katika project muhimu inayoendelea Tanzania ni hii hapa ya kuongeza campus ya vyuo vikuu kwenye mikoa karibia 20plus Tanzania , hii inaenda kuongeza capacity ya vyuo vikuu Tanzania .

Human Capital ni kitu muhimu sana kwenye maendeleo ya nchi hapa sasa tutaona Human developement ikiongezeka , ukiunganisha na project zile za VETA , na mtaala mpya wa Elimu primary school mambo yanaenda vizuri.

Kinachobaki ni kusisitiza matumizi ya computer na kujifunza coding kuanzia primary school
 
Lamu has a 3 berths with Quay Length of 1200m

Mtwara has 2 berths with Quay length of 685meters

Tanga is smaller than Mtwara with 2 berth Quay of 450m

Mtwara in Ship to Shore Crane moja

Tanga is still undergoing major expansion kupokea meli za mafuta

Mtwara will get a another new berth that will be used specfic for Coal handling

Mmetangulia kwa Lamu kuwa na 400m per berth expect Bagamoyo to do that soon it is poised to have bigger berths than Dar or Mtwara

Si unaona SGR mlitangulia ila yetu ni bora zaidi
Bora kwa lipi? Ama kukwama msituni?
 
ilikuwa ni intially sikuhizi umesikia any news umeme umetrip?

Better Locomotives
Better energy usage
Cheap to run
Enviromental friendly
More efficent
Fast can do more trips per day
It’s not about electricity but mechanical issues. You bought second hand trains.
 
Back
Top Bottom