REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,601
- 11,519
There are a lot of good players. Tatizo ni TFF ya Wallece Karia anayetoa ajira kwa wapumbavu wenzake.You only have Clement Msize , wengine ni swara za serengeti 🤣🤣🤣
There are a lot of good players. Tatizo ni TFF ya Wallece Karia anayetoa ajira kwa wapumbavu wenzake.You only have Clement Msize , wengine ni swara za serengeti 🤣🤣🤣
Sawa, wapeeni 1M pesa za Kenya basi kama madafu ni kidogo 🤣Hiyo pesa ndogo sana kwa Wachezaji TZ.
Haina uwezo wa kumshtua mchezaji TZ.
Unaona huyu Mchezaji, Mzize anapata Ksh 800,000 kila mwezi na bado BONUS, na SIGNING FEE.
Na unaona Esperance wanamtaka kwa $1M, na mshahara hautakuwa chini ya $30,000.
Sasa huwezi kumshtukia kwa posho ya Ksh 1M kwa mechi za CHAN.
View attachment 3437679
Nani hajafuzu?Mbona unalazimisha sana niumie?
Tanzania imeshafuzu hatua inayofuata kwanini unalazimisha niumie? 😂😂😂
In short, wanasema pia Morocco ni wafisadi. 🤣Saa hii wanasema ati Ruto bribed the Moroccan coach🤣🤣🤣
Mimi najua mpira vyema sana na najua nini naongea.Acha woga ndugu. Hawana mpira wa kuzidi Tanzania hawa nyan'gau. Tofautisha kukamia na viwango vya mpira kwa wachezaji. Kenya ni wanakamia mechi ila siyo timu nzuri. Sianglii matokeo haya kujastify ubora wa timu ya Kenya.
BTW, she argues like a dude. Could be one of these motherfuckers here.I would decline with an 8 ft pole 🤣🤣… utakuta yeye ndiye Venus star pia ( just the alter ego)…🤮
Unavyoongea inaadhirisha maumivu. It's not rocket science bro.Mbona unalazimisha sana niumie?
Tanzania imeshafuzu hatua inayofuata kwanini unalazimisha niumie? 😂😂😂
So based on this argument, how many times therefore has Tanzania qualified for AFCON?Soma maelezo vizuri kama huelewi nikuletee bandiko lingine.
Mashindo ya AFCON ya preliminary stages na final stages.
Preliminary kuanzia hatua ya kufuzu na finals kuanzia group kwenda kwenye mechi ya fainali.
Kenya hamuna beki kama Dickson Job,Shomari Kapombe, Ibrahim Bacca. Sijaona kiungo wa kati kama Kelvin Nashon au kama Feisal Salum au kama Mudathir Yahya.You only have Clement Msize , wengine ni swara za serengeti 🤣🤣🤣
Sawa. Kwa hivo pia mshaashinda game ya world cup kisa mmewai shinda qualification match ya world cup? According to your low thinking capacity Bongolala has won a world cup match without ever qualifying for world cup? Wewe mwalimu wako wa chekechea hakukutandika vizuri. 😀 😀Soma maelezo vizuri kama huelewi nikuletee bandiko lingine.
Mashindo ya AFCON ya preliminary stages na final stages.
Preliminary kuanzia hatua ya kufuzu na finals kuanzia group kwenda kwenye mechi ya fainali.
Ulisema hawakosi lawama.😂😂In short, wanasema pia Morocco ni wafisadi. 🤣
Nimemuuliza according to akili yake ya umatako washawai shinda game ya world cup bila kushiriki. 🤣Huyo achana naye. Ni kawaida yao sana kuforce issues just to win an argument
Nakushangaa unalazimisha mtu ambaye hajaumia aumie, huoni una matatizo ya akili?Unavyoongea inaadhirisha maumivu. It's not rocket science bro.
So kocha aoiingia akacheza? Mna bahati sana hatutakutana kwenye round ijayo. Shukuru Mungu sanaHuwa huangalii mpira kaka, kwa ule mpira wa kubutua butua, sema wana kocha lakini hawana wachezaji.
Nimeshangaa ichoboy01 na REAL Comrade Kipepe ndio pekee wamekubali Harambee Stars ni wanoma. I thought they were the most unreasonable bongolalas.😂😂😂😂Ulisema hawakosi lawama.😂😂
Hata mie nashangaa kwa quality ipi uiogope Harambe stars kiasi hicho?Acha woga ndugu. Hawana mpira wa kuzidi Tanzania hawa nyan'gau. Tofautisha kukamia na viwango vya mpira kwa wachezaji. Kenya ni wanakamia mechi ila siyo timu nzuri. Sianglii matokeo haya kujastify ubora wa timu ya Kenya.
Kutokujua kwako mpira isikufanye uoneshe ujinga wako kweupe, again nenda kacheze rede.So kocha aoiingia akacheza? Mna bahati sana hatutakutana kwenye round ijayo. Shukuru Mungu sana
we nae tuliza kende hizo punda hiiNimeshangaa ichoboy01 na REAL Comrade Kipepe ndio pekee wamekubali Harambee Stars ni wanoma. I thought they were the most unreasonable bongolalas.😂😂😂😂
Hawa wengine ni kama wamebank kwa hile phrase ya “Hatred is a long term investment”😂😂Nimeshangaa ichoboy01 na REAL Comrade Kipepe ndio pekee wamekubali Harambee Stars ni wanoma. I thought they were the most unreasonable bongolalas.😂😂😂😂