Hivi unajua hata hayo mashindano yana stage ngapi!?What do you understand by the word "at". Huwa nakuambia kila siku wewe ni quack na unakasirika.
Tuanze hapo kwanza.
Maana nakujua akili zako huwa ziko matakoni mwako.
Hivi unajua hata hayo mashindano yana stage ngapi!?What do you understand by the word "at". Huwa nakuambia kila siku wewe ni quack na unakasirika.
Sasa qualification match ni AFCON? Wewe ndio mbugila Sasa!Ona
Ona huyu mbugila mwingine!
Hatujashinda group stage matches ila qualification matches tulishinda.
Tanzania has never won any match at AFCON.Hivi unajua hata hayo mashindano yana stage ngapi!?
Tuanze hapo kwanza.
Maana nakujua akili zako huwa ziko matakoni mwako.
Usipoelewa hapa naku ignore niendelee na mijadala na watu wazima.Tanzania has never won any match at AFCON.
That's a fact that you can't dispute.
Qualifications is not AFCON. Kwani unadhani munaweza qualify bila kushinda, Wacha kutumia kichwa kama bakuli ya mate.Ona
Ona huyu mbugila mwingine!
Hatujashinda group stage matches ila qualification matches tulishinda.
Soma hiyo ripoti halafu urudi hapa.Sasa qualification match ni AFCON? Wewe ndio mbugila Sasa!
Nishaweka ripoti maku wewe kasome kule.Qualifications is not AFCON. Kwani unadhani munaweza qualify bila kushinda, Wacha kutumia kichwa kama bakuli ya mate.
Hii AFCON ya 2027 naona tukihost pekee yetu😂😂😂
View: https://x.com/ali_naka/status/1954528403358351847?t=4xJQ2OfdV1_J-KIcdXC6Aw&s=19
Huyu quack hukua short wire kwani?Tanzania has never won any match at AFCON.
That's a fact that you can't dispute.
Zuwenna alisema tukiongoza group anatugawia k***a 🤣 🤣Wakenya hawatapata hata alama moja, eti wako kwenye group ngumu sana.
Hold my beer.🍺 🤣🤣🤣
View attachment 3437632
Wasifike semis. Mimi hata sitaki tukutane nao Kasa. Nataka tuchezee Namboole UG ndio wasiseme tulikuwa na home advantage. Ama tuwacharaze kwao pale Makwapa.🤣 🤣 🤣Hawa tutachinja asubuhi na mapema. Naomba Tu tuwashike Quarter finals pale Kasarani 🤣🤣
Umia polepole kijana. 🤣 🤣Mgumba kapata mimba anatema mate mtaa mzima. 😂😂😂
Nenda ukalie mbali.Usipoelewa hapa naku ignore niendelee na mijadala na watu wazima.View attachment 3437652
Uchukue Kocha kwa mbinu gani?Hapa tuliangukia. Naona SA wakimchukua though.
Mbona msiaidi wenu 1M ya madafu? Si huwa mnajiita matajiri wa Istiafirika? 🤣 🤣Uchukue Kocha kwa mbinu gani?
Wachezaji wameambiwa watapata 1M wanajituma kama punda.
Zero talents
Zero tactics
Just motivation, and hunger